Jamii
November 17, 2023, 7:46 pm
Mvua yaleta maafa Makete, wananchi watakiwa kupanda miti kwa wingi
Kutokana na Mamlaka ya Hali ya Hewa kutangaza mvua nyingi, wananchi wameaswa kupanda miti katika maeneo yao ili kuepukana na adha ya kuezuliwa nyumba zao. Na mwandishi wetu. Mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda ametoa pole kwa wananchi…
14 November 2023, 8:54 am
Mkurugenzi Sengerema aanza kutekeleza Agizo la Paul Makonda
Stendi ya Mwembe yanga ilikuwa msaada mkubwa kwa wananchi kutoka halmashauri ya Buchosa na Geita vijijini kwani hapo awali walikuwa wakiitumia stendi hiyo wanapokuja mjini Sengerema jambo ambalo liligeuka na kuleta changamoto kwa takribani mwaka mmoja baada ya kufunguliwa kwa…
12 November 2023, 11:47 am
DC Naano aitaka halmashauri Bunda Mji kutatua migogoro ya ardhi na kulipa fidia
Dkt. Anney ameielekeza Halmashauri kufanyia kazi migogoro yote ya ardhi hasa iliyopo katika maeneo ya Taasisi kwa kulipa fidia wananchi waliohamishwa katika maeneo hayo. na adelinus Banenwa Dkt. Anney ameielekeza Halmashauri kufanyia kazi migogoro yote ya ardhi hasa iliyopo katika…
8 November 2023, 5:21 pm
Mifugo ya mwenyekiti mstaafu yapewa sumu asema anaumuachia Mungu
Ikumbukwe mtaa huo una mwenyekiti wa mtaa ambapo majukumu yake ni kusimamia na kuhamasisha ulinzi na usalama wa watu na mali zao na wananchi wana haki na wajibu wa kulinda mali, rasilimali za umma na kupambana na kila aina ya…
4 November 2023, 10:14
DC Mbeya atoa onyo kali wanaotaka kuvuruga amani
Mwandishi Samweli Mpogole Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Beno Malisa ametoa angalizo kwa watu wanaotaka kuvuruga amani iliyopo na kuwataka kuacha mara moja kwani Mbeya ni kitovu cha amani na biashara Ameyazungumza hayo kwenye mahafali ya kuhitimu kwa mafunzo ya…
3 November 2023, 22:21
Bodaboda wengi siku hizi wanapenda mizigo,halafu hamuwi na mzigo mmoja
Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mkoani Songwe Mhe. Solomon Itunda, ameelekeza kuanzishwa Chama cha maafisa usafirishaji Wilaya ya Songwe ambacho kitahusika na uratibu wa masuala yote yanayohusu madereva wanaotoa huduma za usafiri na usafirishaji huku akiwataka kuzingatia Sheria za Barabarani…
November 1, 2023, 1:19 pm
Mbunge Sanga akabidhi baiskeli kwa mlemavu Makete
baada ya wananchi wa kijiji cha kisinga kupaza sauti dhidi ya mlemavu Sinahabari mbunge wa jimbo la makete Festo Sanga kwa kushirikiana na wadau mbali mbali wamemkabidhi baiskeli yenye thamani ya shilingi milioni moja Na Ahazi Ndelwa. Mbunge wa jimbo…
1 November 2023, 11:21 am
Jamii yatakiwa kushiriki kutokomeza rushwa ya ngono
Rushwa ya ngono inaweza kusababisha athari kubwa kwa mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla. Na Aisha Alim. Jamii imetakiwa kushirikaiana katika kuhakikisha vitendo vya rushwa ya ngono makazini vinatokomezwa kwani ni miongoni mwa vitendo vya ukatili vinavyomnyima mtu haki…
25 October 2023, 1:02 pm
Watendaji wa serikali watakiwa kutatua kero za wananchi
Katika Mkutano huo Mkuu wa wilaya ya Bahi Mh Godwin Gondwe aliambatana na kamati ya usalama ya wilaya hiyo. Na Bernad Magawa Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gondwa amewaagiza watendaji wa Serikali katika ngazi zote wilayani humo kuhakikisha…
25 October 2023, 9:28 am
Wananchi Dodoma wakemea tabia ya baadhi ya watu kuwatetea wahalifu
Hayo yanajiri kutokana na matukio mbalimbali ya kihalifu yanayoendelea katika mitaa ya jiji la Dodoma. Na Aisha Shaban. Baadhi ya wanachi wamezungumzia tabia ya baadhi ya watu katika mitaa kupenda kuwatetea wahalifu na kwenda kuwawekea dhamana wakikamatwa hali inayosababisha uhalifu…