Radio Tadio

Habari

August 31, 2023, 2:24 pm

Bandari tatu zatengewa Bilioni 60

Waandishi wa Habari mkoani shinyanga wametakiwa kuwa mstari wa mbele kwenye jamii katika kuizungumzia Bandari na matumizi yake ili wananchi waweze kufahamu matumizi yake na umhimu wake. Hayo yamesemwa na Afisa Bandari ya Isaka-Kahama mkoani Shinyanga, Abeli Mshang’a wakati akizunguzma…

31 August 2023, 11:13 am

Katibu tawala Bunda ateta na wakuu wa shule Bunda mji

Kiongozi bora halalamiki bali anatafuta ufumbuzi wa matatizo ya watu walio chini yake. kipimo cha uongozi ni jinsi gani kiongozi anaweza kuleta ushawishi kwa watu na kufikia maendeleo yaliyotarajiwa. Na Thomas Masalu Imeelezwa kuwa kipimo cha uongozi ni jinsi gani kiongozi anaweza kuleta ushawishi kwa watu na kufikia maendeleo yaliyotarajiwa. Kiongozi bora halalamiki bali…

28 August 2023, 3:22 pm

Wananchi watakiwa kushiriki wiki ya ufuatiliaji na tathmini

Kongamano hili la Pili la Kitaifa la Wiki yaUfuatiliaji na Tathmini litakalofanyika Jijini Arusha mapema mwezi Septemba, itawalenga zaidi,wataalam wa Ufuatiliaji na Tathmini,Maafisa na Mameneja wa Miradi kutoka katika Taasisi zote za Umma,Taasisi Binafsi, makampuni, Asasi za Kiraia na mashirika…

August 24, 2023, 2:12 pm

TAKUKURU yabaini madudu matengenezo barabara Shinyanga

TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Shinyanga, imembana Mkandarasi kutoka Kampuni ya Brampem Global Investment LTD, kurudia matengenezo ya barabara aliyojenga chini ya kiwango, pamoja na kukatwa fedha kutokana na kuchelewesha matengenezo hayo kinyume cha Mkataba,…

August 21, 2023, 6:08 pm

Ilindi waomba kata kupunguza safari ndefu kwenda Zongomela

Mwenyekiti wa mtaa wa Ilindi kata ya Zongomela Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Dogo Mheziwa, ameliomba baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kuhalalisha mtaa wa Mwime ya Ilindi kuwa kata inayoweza kujiendesha yenyewe ili kupunguza…

18 August 2023, 10:18 am

Wakazi Bunda Stoo walia ukosefu wa maji

Suala la maji katika Mtaa wa idara ya maji hasa maeneo ya panda miti imekuwa ni kikwazo ambapo wamesema hulazimika kuamka usiku wa manane ili kwenda kufata maji. Na Adelinus Banenwa Wakazi Mtaa wa Idara ya Maji kata ya Bunda…

16 August 2023, 9:50 am

DC Naano: Bunda inaongoza kwa kutokuwa na vyoo Mara

Bunda ni miongoni mwa wilaya zinaongoza kwa kutokuwa na vyoo mkoani Mara Na Thomas Masalu Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe. Dr,Vicent Naano amegiza kushughulikiwa kikamilifu suala la usafi wa mazingira hasa kuwa na vyoo bora majumbani ili kusaidia kupunguza…

10 August 2023, 1:14 pm

Chama cha wafugaji chatoa msimamo uwekezaji bandari

Wafugaji wanaona yapo manufaa makubwa kwenye uwekezaji wa bandari hivyo wanaunga mkono jitihada zote za serikali katika uwekezaji huo. Na Adelinus Banenwa Chama cha wafugaji Tanzania kupitia kwa mwenyekiti wake kimesema kinaunga mkono mkataba wa mashirikiano ya serikali na kampuni…