Habari
9 January 2024, 23:38
Wananchi wahimizwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa
Uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa unatarajia kufanyika mwaka huu huku wananchi wakiendelea kusisitizwa suala la kushiriki katika kuchagua viongozi sahihi. Na Thadei Tesha. Mkuu wa wilaya ya Dodoma mh. Jabir Shekimweri amewataka wananchi jijini Dodoma kushiriki kikamilifu…
8 January 2024, 14:11
NDC Mbeya yapokea wanafunzi toka nchi nne
Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera leo Januari 08, 2024 amekutana na wanafunzi kutoka Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi NDC waliofika mkoani Mbeya kwa lengo la kuendeleza mafunzo yao kwa njia ya vitendo. Ziara…
8 January 2024, 7:23 am
RC Mtanda awataka Nyatwali kuendelea na shughuli zao
Mkuu wa mkoa wa mara Mhe Said Mohamed Mtanda amewataka wakazi wa Nyatwali kuendelea na shughuli zao za kawaidi huku serikali ikiendelea kufanya ufuatiliaji wa wao kuhama. Na Adelinus anenwa Mkuu wa mkoa wa mara Mhe Said Mohamed Mtanda amewataka…
3 January 2024, 12:30
Mashirika, wananchi watakiwa kuwakumbuka watoto yatima Kigoma
Wito umetolewa kwa mashirika na wananchi wa mkoani Kigoma kujitokeza na kuchangia vitu mbalimbali kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaolelewa na kituo cha malezi ya watoto Matyazo. Na Lucas Hoha Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Joy…
30 December 2023, 08:16
Dereva afutiwa leseni, wawili mbaroni Songwe
Na mwandishi wetu,Songwe Kamanda wa Polisi Mkoa wa songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Theopista Mallya Disemba 29, 2023 ameendelea na operesheni ya ukaguzi wa magari ya abiria kwenye barabara ya kwenda Mbeya Tunduma katika kituo cha ukaguzi wa magari…
28 December 2023, 18:17
Askari polisi waliotimiza miaka 30 jeshini watoa msaada wa kumuwekea umeme mzee…
Na mwandisi wetu,Songwe Baadhi ya askari Polisi waliotimiza miaka 30 katika utumishi wao ndani ya Jeshi la Polisi Depo la Mwaka 1993, wamemtembelea Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Mkisi ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa Shule ya Polisi Moshi (CCP)…
27 December 2023, 16:58
Wakazi wa Bicha Kondoa wahofia kuathirika na mafuriko
Wananchi wanaoishi pembezoni mwa mkondo wa maji wamekuwa wakisisitizwa kuhama maeneo hayo ili kuepuka athari ambazo zinaweza kuwapata ikiwemo ikiwemo mvua kubwa zinazoambatana na uharibifu wa mali na maisha ya watu. Na Nizar Mafita. Wananchi wa Mtaa wa Bicha katika…
27 December 2023, 1:20 pm
Waliofukiwa na kifusi mgodi wa Kinyambwiga Bunda mmoja apatikana akiwa amefariki
Mwili wa mchimbaji mmoja umepatikana baada ya taarifa ya kufukiwa na kifusi wiki mbili zilizopita katika mgodi wa Kinyambwiga wilayani Bunda mkoani Mara Na Adelinus Banenwa Mwili wa mchimbaji mmoja umepatikana baada ya taarifa ya kufukiwa na kifusi wiki mbili…
27 December 2023, 1:03 pm
Aliyejeruhiwa na mamba Chrismas afariki: Bunda
Mmoja wa majeruhi wa tukio la kushambuliwa na mamba eneo la Mayoro kata ya Nyamihoro amefariki wakati akikibizwa hispitali ya mkoa Na Adelinus Banenwa Mmoja wa majeruhi wa tukio la kushambuliwa na mamba eneo la Mayoro kata ya Nyamihoro amefariki…
18 December 2023, 15:46
Chama cha ushirika Kasulu chawachagua viongozi wapya
Chama cha Ushirika cha Umoja ni imani wilayani Kasulu mkoani Kigoma kimechagua uongozi mpya utakaodumu kwa miaka mitatu ukiongozwa na mwenyekiti wake Alfa Obed aliyechaguliwa kwa kura 106. Na, Hagai Luyagila Akizungumza na vyombo vya habari Afisa ushirika wa halmashauri…