Habari
16 November 2023, 9:49 pm
Baraza la madiwani Bunda laahirishwa madiwani wakidai taarifa za miradi
Madiwani wakataa kuendelea na kikao wakiomba kupata taarifa za miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya halmashauri. Na Edward Lucas. Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mkoani Mara, Mhe. Charles Manumbu ameahirisha kikao cha baraza hilo na kumwagiza…
16 November 2023, 13:13 pm
Biteko awasha umeme wa REA Mtwara
Na Grace Hamisi Naibu Waziri mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Novemba 15,2023 amewasha umeme wa ujazilizi katika maeneo ya vijiji – miji awamu ya III mitaa ya Pachoto A, Pachoto B na Pwani kata ya Naliendele mkoani…
14 November 2023, 6:40 pm
Yafahamu makundi na mgawanyiko wa majukumu ya nyuki kwenye mzinga
Je Maisha ya Nyuki yapoje katika Mzinga. Na Yussuph Hassan. Nyuki wamegawanyika katika aina kuu mbili pamoja na mgawanyo wa majukumu katika kila koloni.Leo Afisa nyuki anatueleza makundi na aina ya majukumu ya nyuki kwenye makoloni yao.
8 November 2023, 1:19 pm
Akutwa amefariki kwenye bajaji Mpanda
Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 50 amekutwa amefariki dunia katika eneo la Rugwa. Na Gladness Richard – Mpanda Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Hillalie Rioba mwenye umri wa miaka 50 amefariki dunia katika eneo la Rugwa kata ya Kazima…
2 November 2023, 12:46 pm
Mpango maalum ‘Tumewasikia Tumewafikia’ wazinduliwa Dodoma
Mpango huo ulizinduliwa katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dodoma ambapo ni programu ya nchi nzima yenye lengo la kuhakikisha wananchi wanapata taarifa juu ya yale yanayotekelezwa na seikali ya awamu ya sita ukiwa na jina TUMEWASIKIA TUMEWAFIKIA. Na…
28 October 2023, 14:10 pm
Zoezi la ugawaji vitambulisho vya NIDA lazinduliwa
Wananchi wote ambao hawajasajiliwa kufika kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kupata utaratibu awali kwa ajili ya kusajiliwa ili na wao waweze kupata vitambulisho hivyo kama wengine Na Musa Mtepa; Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Ahmadi Abasi, Oktoba 27,2023…
22 October 2023, 11:01 pm
UWT Bunda: Wanawake tumejipa kazi nyingi, tumesahau malezi kwa watoto
“Akina mama tumejipa shughuli nyingi tumesahau wajibu wetu wa malezi, twende tuwalinde watoto” Na Edward Lucas Wanawake wameaswa kuzingatia malezi ya watoto ili kukabiliana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii Wito huo umetolewa leo na Mjumbe Kamati…
22 October 2023, 7:22 am
NIDA Bunda: Zaidi ya vitambulisho elfu 50 vyapelekwa ofisi za kata
“Mbali na vitambulisho vilivyokuwepo awali, serikali imeleta tena vitambulisho vingine kwa wale waliojiandikisha hivi karibuni kwahiyo wananchi wafike ofisi za kata kuchukua vitambulisho vyao” Na Edward Lucas Wito umetolewa wananchi wilaya ya Bunda mkoani Mara kufika katika ofisi za kata…
17 October 2023, 14:25 pm
Siku ya mwanamke anayeishi kijijini
Suala la ukatili bado linaendelea katika jamii huku suala la undugu likiwa kikwazo kutokomeza, wanajamii wamekuwa wakifichiana matukio hayo hasa rushwa ya ngono katika maeneo ya kazi na taasisi za elimu. Na Musa Mtepa Wananchi mkoani Mtwara wametakiwa kukomesha vitendo…
11 October 2023, 14:19
Bei za mafuta zasababisha mgomo wa daladala Mbeya, nauli zapandishwa kiholela
Wakazi wa Mbeya wamejikuta wakiamka na kukuta wanakosa usafiri wa kwenda kwenye shughuli zao hali iliyowasababishia kutumia usafiri wa bajaji kwa gharama kubwa. Na Ezra Mwilwa Wananchi jijini Mbeya wameiomba Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA kuchukua hatua za kisheria…