Radio Tadio

Habari

8 November 2023, 1:19 pm

Akutwa amefariki kwenye bajaji Mpanda

Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 50 amekutwa amefariki dunia katika eneo la Rugwa. Na Gladness Richard – Mpanda Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Hillalie Rioba mwenye umri wa miaka 50 amefariki dunia katika eneo la Rugwa kata ya Kazima…

28 October 2023, 14:10 pm

Zoezi la ugawaji vitambulisho vya NIDA lazinduliwa

Wananchi wote ambao hawajasajiliwa kufika kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kupata utaratibu awali kwa ajili ya kusajiliwa ili na wao waweze kupata vitambulisho hivyo kama wengine Na Musa Mtepa; Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Ahmadi Abasi, Oktoba 27,2023…

17 October 2023, 14:25 pm

Siku ya mwanamke anayeishi kijijini

Suala la ukatili bado linaendelea  katika jamii huku suala la undugu likiwa kikwazo kutokomeza, wanajamii wamekuwa wakifichiana matukio hayo hasa  rushwa ya ngono katika maeneo ya kazi na taasisi za elimu. Na Musa Mtepa Wananchi  mkoani Mtwara wametakiwa kukomesha vitendo…

29 September 2023, 23:09

Mch. Mwakipesile ahukumiwa miaka 3 jela

Kila nchi inaendeshwa kwa mujibu wa taratibu na sheria na katika sheria hakuna ambaye anakuwa juu ya sheria, hivyo kila mtu anapaswa kuheshimu taratibu na kuheshimu sheria. Na Josea Sinkala Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka…

28 September 2023, 4:42 pm

MCT yakiri kukinzana kwa sheria ya matumizi sahihi ya mitandao

Hali hiyo imekuwa ikikinzana  na Sheria ya haki ya kupata Taarifa  ambayo inatoa wigo kwa wananchi kuwa huru kupata taarifa ambazo hazijazuiliwa kisheria. Na Seleman Kodima. Pamoja na Serikali kuhimiza Matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii, Baraza la Habari Tanzania…