Radio Tadio

Habari za Jumla

2 Febuari 2024, 2:27 um

Mdahalo kufanyika kata kinara kwa ukeketaji Arusha

“Vtendo vya ukeketaji nchini vimepungua lakini vimeongezeka kwa mkoa wa Arusha ambao unaongoza nchini kwa vitendo hivyo” Na. Anthony Masai. Maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupinga vitendo vya ukeketaji nchini yanatarajia kufanyika katika kijiji cha Olchorvosi,kata ya Musa,halmashauri ya…

1 Febuari 2024, 8:09 um

DC  Kaminyoge:  Elimu ya Kisheria  iendelee  kutolewa kwa Wananchi   

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa   Mkoani  Simiyu  Mhe,  Aswege  Kaminyoge  amewataka  wadau  wa  Sheria   kuendelea  kutoa  Elimu  kwa  Wananchi  kwani  wanawategemea  sana  katika  Utoaji  wa  Haki. Hayo  ameyasema  katika  kilele  cha  Wiki  ya  Sheria  katika  Viwanja   vya  Mahakama  ya  Wilaya …

30 Januari 2024, 22:07

Kyela:CHAMATA Kyela wakiwasha

Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya CHAMATA Tanzania wilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya wameafikiana kuanza kufanya shughuli za utambulisho wa miradi mikubwa inayotekelezwa na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani. Na James Mwakyembe Kikao kazi cha…

22 Januari 2024, 1:29 um

Matukio ya mvua Ngorongoro mmoja afariki

Katika Matukio makubwa ya wiki wilayani hapa yametawaliwa kwa kiasi kikubwa ni athari mbalimbali ambazo zimesababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha kwa wingi ikiwemo mtu mmoja kupoteza Maisha baada ya kusombwa na maji. Na Edward Shao, Mvua zinazoendelea kunyesha hapa wilayani…

22 Januari 2024, 09:49

Halmashauri ya wilaya Kasulu yakusanya zaidi ya bilioni 19

Madiwani wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kusimamia na kuibua vyanzo vya mapato ili kusaidia kuongeza mapato ya halmashauri hiyo. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Halmashauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekusanya zaidi ya shillingi billion 19 ambayo ni…