Radio Tadio

Habari za Jumla

19 Aprili 2024, 11:49 mu

Samwel na Godi mikononi mwa Dc Maswa kwa kukwepa kulipa kodi

Lazima tuwe wakali kwa wafanyabiashara ambao wamekuwa wanaihujumu Serikali yetu ya Tanzania kwa kukwepa kulipa kodi pale wanapouza na kununua bidhaa na kushindwa kutoa listi za mashine zenye thamani sawa na bidhaa husika. Na, Daniel Manyanga  Mkuu wa wilaya ya…

Aprili 18, 2024, 11:10 um

ukaguzi wa miradi umefanyika na kamati ya fedha Makete

katika kutekeleza miradi ya maendeleo Makete katika sekta mbalimbali kamati ya Fedha utawala na mipango imefanya ukaguzi wa miradi kwalengo la kusukuma kasi ya miradi ikamilike kwa wakati Na Aldo Sanga. Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango, leo April i,18,…

18 Aprili 2024, 14:02

Wakulima wa kahawa walia na ukosefu wa viwatilifu kakonko

Licha ya elimu ya namna ya kulima kilimo chenye tija kwa wakulima walio wengi nchini lakini bado kilio cha wakulima ni kuona serikali inaboresha upatikanaji wa pembejeo za kilimo. Na James Jovin, Kigoma Wakulima wa Zao la Kahawa Wilayani Kakonko…

17 Aprili 2024, 21:17

Rais Samia mgeni rasmi wakfu wa askofu mteule Moravian

Taasisi za dini ni miongoni mwa taasisi ambazo zimekuwa mchango mkubwa wa kutunza, kulinda amani ya taifa hali hiyo inathibitishwa na maridhiano yaliyopo baina ya taasisi za dini pamoja na serikali. Na Hobokela Lwinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

17 Aprili 2024, 19:40

Wananchi 350 waanza kutumia nishati safi ya kupikia

Na Bestina NyangaroOfisi ya mbunge Jimbo la Mafinga Mjini kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati, imegawa mitungi 350 ya gesi ambayo imeambatana na elimu (Mafunzo) ya nishati safi ya kupikia kwa lengo la kuwezesha upatikanaji wa nishati hiyo. Zoezi hilo…

17 Aprili 2024, 12:12

Mvua yakata mawasiliano ya miundombinu ya barabara Rungwe, Mbeya

Katika hali isiyotarajiwa wakazi wa kata ya Kapugi na Lyenje wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wamekutana na adha ya kuharibika kwa miundombinu ya barabara iliyokuwa ikiwaunganisha na kusababisha shughuli mbalimbali za kiuchumi kusimama. Na Ezra Mwilwa Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha…