Radio Tadio

Habari za Jumla

21 Febuari 2022, 8:14 mu

Malezi mabaya kwa watoto chanzo cha matukio ya uhalifu

RUNGWE-MBEYA Malezi mabaya kwa watoto wilayani Rungwe Mkoani Mbeya imeelezwa kuwa chanzo cha matukio mbalimbali ya uhalifu ikiwemo unyanyasaji wa kijinsia na mauaji. Ameyasema hayo Mch wa kanisa la Baptist Tukuyu mjini Mch. .HALLENCE MWASOMOLA, wakati akizungumza na redio chai…

20 Febuari 2022, 5:08 um

Wananchi wamshukuru Rais Samia fedha ujenzi shule ya sekondari

RUNGWE-MBEYA Umoja na ushirikiano  wa wakazi wa kata ya Msasani wilayani Rungwe umetajwa kuwa chanzo cha kumalizwa kwa ujenzi wa shule ya sekondari Msasani inayojengwa katika mtaa wa Bulongwe. Ameyasema hayo diwani wa kata ya msasani mh ROBIN MWAKAPESA, wakati…

16 Febuari 2022, 10:03 mu

Vijana wachangamkie mikopo ya halmashauri

RUNGWE-MBEYA. NA:JUDITH MWAKIBIBI Wananchi wilayani Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa  kujiunga na vikundi mbalimbali ilikuweza kunufaika na mikopo inayotolewa na Halmashauri ikiwa ni vikundi vya watu wenye ulemavu ,wanawake na vijana. Akizungumza na redio Chai FM ofisini kwake Mratibu Wa Dawati …

14 Febuari 2022, 12:45 um

Uhaba wa soko kilio wakulima wa ndizi Rungwe

RUNGWE-MBEYA Kukosekana kwa soko la uhakika la ndizi imetajwa kuwa sababu inayopelekea wakulima wa zao hilo kuuza mazao yao kabla ya wakati husika. Hayo yamezungumzwa na baadhi ya wakulima wilayani Rungwe  ambapo wamesema kuwa inawalazimu kuuza ndizi zao mashambani  kabla…

13 Febuari 2022, 1:20 um

Halmashauri ya Rungwe imekusanya mapato kwa asilimia 80%

Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Rungwe limefanya kikao kilichotoa taswira hali ya ukusanyaji mapato huku Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mhe. Mpokigwa Mwankuga akiwataka Madiwani pamoja na watendaji idara mbalimbali kuendeleza juhudi za kusimamia miradi na mapato…

12 Febuari 2022, 19:37 um

Maadhimisho ya siku ya redio duniani

Na Amua Rushita. Waandishi wa habari pamoja na asasi za kiraia  kupitia Mradi wa Sauti mpya, wamekutana katika kuadhimisha siku ya redio duniani kwa kuwa na majadala juu ya siku hii inayoadhimishwa kidunia, karibu usikilize kipindi maalumu kutoka hap mkoani…

10 Febuari 2022, 12:10 um

Wauguzi wajengewa uwezo kuhusu mdomo Sungura

MBEYA Mafunzo ya siku tatu kuwajengea uwezo wauguzi wa hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya yameanza rasmi ili kukabiliana na watoto wanaozaliwa mdomo wazi na mdomo sungura ili waweze kupatiwa matibabu mapema. Dkt Zackaria Amos ni Mkufunzi wa mafunzo hayo…

9 Febuari 2022, 9:58 mu

Serikali kuwalinda mangariba walioacha kukeketa

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewapongeza Ngariba waliokuwa wanajihusisha na vitendo vya ukeketaji baada ya kuacha kufanya vitendo hivyo na kisha kugeuka kuwa wanaharakati wa kukemea vitendo vinavyo dhalilisha utu wa mtoto…