Radio Tadio

Habari za Jumla

17 Januari 2023, 4:55 um

Msasani Walia na Maji Safi.

MPANDA Wananchi wa Mtaa wa Msasani Kata ya Mpanda Hotel wamelalamikia kukosekana kwa maji safi na salama kwa matumizi yao ya kila siku. Wakizungumza na Mpanda Radio Fm Wamedai changamoto imekua ni ya kudumu kutokana na mabomba kuharibika mara kwa…

Januari 17, 2023, 9:58 mu

Wazazi wanashawishi Wanafunzi wafeli Mitihani

  Wazazi kijiji cha Usagatikwa Kata ya Tandala na Ibaga Kata ya Mang’oto wamebainika kushawishi wanafunzi wafeli mitihani ya Darasa la Saba kwa maksudi. Kaimu Afisa Elimu Idara ya Msingi Wilaya ya Makete Mwalimu Bakari Msuya amesema kumekuwa na tabia…

Januari 17, 2023, 9:31 mu

Waiomba Serikali kunusuru wanafunzi kupigwa na Radi

  Wananchi wa Kijiji cha Ihela Kata ya Tandala Wilayani Makete wameiomba Serikali kuangalia chanzo cha radi eneo la shule ili kuepusha hatari ya watoto kupigwa radi Wakizungumza na Kitulo Fm kwa nyakati tofauti wananchi hao wameeleza kuwa kumekuwa na…

Januari 17, 2023, 8:57 mu

Idadi ya wanafunzi kuripoti shule bado changamoto

  Kijiji cha Usagatikwa wilayani Makete mkoani Njombe kipo kwenye hatari ya kukosa wasomi katika siku zijazo kutokana na wanafunzi wanaopangiwa kuanza kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Lupalilo wengi wao kutohitimu kidato cha Nne Akitoa taarifa ya ripoti…

Januari 16, 2023, 8:00 mu

Waiba Alama za Barabarani Ikonda-Makete

  Watu wasiojulikana wameng’oa na kuiba Mabomba matano ya Vibao vya alama za usalama Barabarani katika Barabara kuu ya Makete – Njombe usiku wa kuamkia January 13, 2023 katika eneo la kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoani Njombe Wakizungumza na…

Januari 16, 2023, 7:46 mu

Wananchi waiomba Serikali kujenga Barabara Kigulu

  Wananchi wa Kijiji cha Kigulu wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Kijiji hicho ili kurahisisha shughuli za usafiri na kuongeza mzunguko wa Uchumi kwa wananchi. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda wananchi hao…