Radio Tadio

Elimu

6 Oktoba 2023, 8:39 mu

Sekondari Kabasa yapigwa jeki

Mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondari Kabasa, Kambarage Wasira akiwa mgeni rasmi atoa milioni moja (1,000,000/=Tsh) kukabili sehemu ya changamoto katika shule hiyo. Na Edward Lucas Ikiwa ni wiki moja imepita tangu Kambarage ashiriki mahafali ya darasa la…

5 Oktoba 2023, 22:06

Zimamoto Mbeya yatoa elimu shule za msingi

Elimu ni msingi wa maendeleo, kila mtu anapaswa kupata elimu ili kuweza kufanikiwa juu ya jambo ambalo anatamani kulijua haijalishi umri, hapa jeshi la zimamoto linaonesha wazi namna ambavyo limeendelea kutoa elimu ili kuwezesha wananchi kukabiliana na majanga mbalimbali ikiwemo…

Oktoba 5, 2023, 8:52 mu

Serikali yatoa fedha ujenzi wa madarasa

Kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa katika shule ya sekondari Matamba serikali imetoa fedha shilingi milioni 700 kutatua changamoto hiyo, Na mwandishi wetu. Zaidi ya Shilingi Milioni 700 zimetolewa na Serikali kujenga madarasa, bweni na yoo katika shule ya…

4 Oktoba 2023, 3:44 um

NMB yatoa msaada wa dawati 100 Nyasura

Katika kuadhimisha wiki ya huduma Kwa wateja banki ya NMB tawi la Bunda wametoa msaada wa madawati 100 kwa sule ya msingi ya Nyasura iliyopo kata ya Nyasura halamshauri ya mji wa Bunda mkoani Mara. Na Adelinus Banenwa Katika kuadhimisha…

4 Oktoba 2023, 11:01

Wadau wa elimu Kigoma watakiwa kusaidia kuboresha miundombinu

Serikali imeomba wadau wa elimu kuendelea kusaidia katika kuboresha miundombinu ya elimu Mkoani Kigoma. Na Hagai Ruyagila Wadau wa elimu mkoani Kigoma wametakiwa kuunga mkono juhudi za serikali katika kuboresha sekta ya elimu kwa kuchangia upatikanaji wa miundombinu bora kwa…