Elimu
27 September 2023, 20:07
TADIO yawanoa wanahabari Mufindi FM
Waandishi wa habari Mufindi FM wakiwa katika mafunzo ya urushaji maudhui mtandao kupitia radio.Picha na Kelvin Mickdady Na Isaya Kigodi -Mufindi Mtandao Wa Radio Jamii nchini( TADIO) umetoa mafunzo ya Ndani kwa waandishi Wa habari Wa kituo Cha jamii Mufindi…
27 September 2023, 13:07
Wanafunzi marufuku mikesha ya ngoma(sherehe) za usiku
Baadhi ya wazazi wamekuwa wakiwahusisha watoto wadogo kwenye sherehe hali inayopelekea watoto kubadilika tabia na wengine kushindwa kuendelea na masomo na kuwa wanenguaji katika sherehe hizo. Na Samwel Mpogole Afisa Tarafa wa Sisimba Jijini Mbeya John Mboya amewataka wazazi na…
27 September 2023, 8:11 am
Maswa: Wakurugenzi wa Halmashauri Mkoani Simiyu watakiwa kutenga Bajeti ya Elimu…
Wasichana wapatao (222) Mkoani Simiyu wamefanikiwa kuendelea na masomo yao ya Elimu ya Sekondary Mbadala baada ya kujifungua. Na Alex Sayi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt,Yahaya Nawanda amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote Mkoani hapa kuhakikisha wanatenga bajeti kwa ajili…
26 September 2023, 4:15 pm
Mfahamu mkalimani wa lugha ya alama aliyekuwa na kiu ya kujifunza
Dorcas Minaz ni moja kati ya wanawake wanaopambana katika kusaidia jamii ya wahitaji hususani viziwi na amekuwa mkalimani mahiri anayeipenda kazi yake kwa sasa. Na Yussuph Hassan. Wakati tukiendelea na simulizi ya Mkalimani Mahiri wa lugha ya alama Dorcas Minaz…
26 September 2023, 12:21
Shule ya msingi Busunzu B yakabiliwa na uhaba wa madawati 400
Benki ya NMB kanda ya magharibi imetoa msaada wa madawati 50 katika shule ya msingi Busunzu Biliyopo Wilayani kibondo Mkoani Kigoma ikiwa ni jitihada za kukabiliana na uhaba wa madawati katika shule hiyo. Na James Jovin Shule ya msingi Busunzu…
26 September 2023, 10:29
Vitabu 4,559 vya sayansi kusambazwa wilayani Malinyi
Wakuu wa shule za sekondari wilayani Malinyi katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa vitabu na kaimu mkurugenzi mtendaji wilaya bwana Gasto Silayo kwenye hafula iliyofanyika katika viwanja vya shule ya msingi nawigo. Picha na Jackson Machoa. Vitabu hivyo vitasaidia…
25 September 2023, 3:19 pm
Vishawishi chanzo wanafunzi wa kike kushindwa kuendelea na masomo
Mfumo dume unaoendelea katika baadhi ya jamii umetajwa kuwa ni moja ya sababu inayosababisha wanafunzi wa kike kushindwa kufaulu vizuri masomo yao. Zaituni Juma ana taarifa zaidi baada ya kutembelea kata ya Gongoni Manispaa ya Tabora katika shule ya msingi…
23 September 2023, 4:21 pm
Waziri wa Elimu afanya ziara usiku skuli mbalimbali Pemba
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imeandaa mpango maalum wa kuhakikisha kwamba wanafunzi ambao wako kwenye madarasa ya mitihani wanapata muda wa ziada wa kujisomea. Na Ali Kombo Ikiwa ni siku ya elimu bila ya malipo Zanzibar Waziri…
September 23, 2023, 3:35 pm
Mkurugenzi Makete DC aendelea na ukaguzi wa miradi
Mwonekano wa vyumba vya Madarasa ya Awali shule ya Msingi Kinyika
22 September 2023, 2:26 pm
Uchechemuaji katika masuala ya kilimo ni muhimu
Kupitia mradi wa ASILI-B unaofadhiliwa na Vi Agroforestry, CSP kwa kushirikiana na BUFADESO wamewakutanisha wadau wa kilimo wilaya ya Bunda na kuunda jukwaa la kilimo. Na Thomas Masalu Kupitia mradi wa ASILI-B unaofadhiliwa na Vi Agroforestry, CSP kwa kushirikiana na…