Radio Tadio

Elimu

17 Oktoba 2023, 2:26 um

Wazazi washauriwa kuanzisha ujenzi wa hosteli

Shule ya sekondari Kijuka imeanzishwa mwaka 2012 kwa nguvu ya wananchi na serikali ambapo tangu kuanzishwa imekuwa ikifanya vibaya kitaaluma kutokana na wanafunzi kutembea umbali mrefu na kwa mwaka huu 2023 wamehitimu wanafunzi 42 kati ya wanafunzi 88 walioanza kidato…

17 Oktoba 2023, 11:05 mu

Wanafunzi Esperanto sekondari sasa kusoma kidijitali

Shule ya sekondari Esperanto kufungiwa mfumo wa intarnet ili kusaidia ufundishaji na ujifunzaji kwa wanafunzi shuleni hapo. Na Avelina Sulus na Taro Michael Shule ya sekondari Esperanto kufungiwa mfumo wa intanet ili kusaidia ufundishaji na ujifunzaji kwa wanafunzi shuleni hapo.Hayo…

14 Oktoba 2023, 1:28 um

Sekondari ya Nyiendo kuwekewa umeme vyumba sita vya madarasa

Eng. Kambarage Wasira kwa kushirikiana na mdau wa maendeleo ndugu Eng.Gasper Mchanga wameahidi kuweka umeme katika madarasa 6 shule ya Sekondari Nyiendo iliyopo Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara. Na Adelinus Banenwa Mfumo wa umeme utakaogharimu shilingi milioni mbili…

14 Oktoba 2023, 10:20 mu

Wananchi Katavi washauriwa kumaliza dozi

Wananchi Katavi washauriwa kumaliza dozi za dawa wanazoandikiwa Na Kalala Robert – MpandaWananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameshauriwa kumaliza dozi za dawa wanazoandikiwa na madaktari ili kuweza kuuwa vijidudu na kuacha afya zao zikiwa salama. Mtu asipomaliza dozi ya…

13 Oktoba 2023, 19:31

Miundombinu mibovu sekondari Ruiwa chanzo cha kushuka ufaulu

Miongoni mwa changamoto zinazowakabili wanafunzi wengi ni pamoja na miundombinu ya vyumba vya madarasa hivyo wadau wanaombwa kutatua changamoto za wanafunzi wanazokumbana nazo. Na Ezra Mwilwa Ubovu wa miundombinu katika Shule ya Sekondari Ruiwa iliyopo halmashauri ya wilaya ya Mbarali…

13 Oktoba 2023, 7:22 mu

Kambarage atatua changamoto ya maji Kunzugu sekondari

Kiasi cha shilingi million moja  laki moja na elfu Arobaini na nne (1,144,000) zimetolewa na Ndugu Kambarage Wasira katika kutatua changamoto ya maji shule ya sekondari kunzugu leo kwenye mahafali ya kidato cha nne. Na Adelinus Banenwa Kiasi cha shilingi…