Radio Tadio

Elimu

3 Novemba 2023, 20:50

Polisi Mbeya mguu kwa mguu kutoa elimu ya ukatili

na mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwenye shule za msingi,sekondari na vyuo ili kukomesha vitendo hivyo ambavyo vimeanza kushamiri nchini Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga ameongoza Dawati…

3 Novemba 2023, 20:25

RC Homera ataka wahitimu TIA kuwa na nidhamu ya fedha

na ,Prince Fungo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera amewataka wahitimu wa taasisi ya fedha ya uhasibu (TIA) kampasi ya Mbeya kutumia maarifa waliyoyapata chuoni hapo Kwenda kutatua changamoto za kiuchumi kwenye jamii ikiwemo kuwa na nidhamu ya fedha…

30 Oktoba 2023, 9:02 um

Wazazi walalamikiwa kushindwa kulipa Ada za watoto wao

Shule ya Sekondari Ntunduru imekuwa ikifanya vizuri tangu kuanzishwa kwake mwaka 2004, ambapo kwa mwaka huu 2023 jumla ya wahitimu 70 wanatarajia kufanya mtihani wa kidato cha nne wakiwa wasichana 37 na wavulana 33. Na:Joyce Rollingstone. Shule ya sekondari ntunduru…

30 Oktoba 2023, 17:35

Songwe madereva wapigwa stop ulevi

Miongoni mwa sababu kubwa ya ajali za barabarani ni kwa baadhi ya madereva kutumia vilevi kupindukia wanapokuwa barabarani wakiendesha vyombo vya vya moto,baada ya kuini hili kumekuwepo na ukaguzi uanao fanywa na jeshi la polisi kwenye vituo vya kuazia safari…

30 Oktoba 2023, 12:20 um

Umbali mrefu chanzo wanafunzi kukatisha masomo Mbandee

Kupitia mradi wa BOOST umeendelea kuimarisha elimu msingi kwani takribani shilingi trilioni moja zimejenga madarasa ya shule za msingi 9,705 na kukarabati shule za msingi kongwe kwa mwaka wa fedha 2022/23. Na Mindi Joseph. Umbali mrefu wanaotembea wanafunzi wa kitongoji…

27 Oktoba 2023, 9:14 um

Bashungwa: Serikali inaendelea kuboresha maslahi ya walimu

Na Jovinus Ezekiel Waziri wa ujenzi na mbunge wa jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa amewahakikishia walimu wa wilaya ya  Karagwe kuwafikishia changamoto zinazowakabili ikewemo madeni ya walimu na kikokotoo cha malipo ya  msitaafu kutokuwa rafiki kwa serikali ili ziweze kupatiwa…