Radio Tadio

Elimu

15 Novemba 2023, 3:34 um

Shule ya msingi Chilanjilizi yalia na uhaba wa walimu wakike

Shule zenye wanafunzi mchanganyiko ni vyema kuwa na walimu wa jinsia zote kwani Watoto wa kike shuleni  wanahitaji uangalizi ili kuwapa ujasiri na uwezo wa kueleza matatizo yanayowakuta wasichana wawapo shuleni. Na Victor Chigwada                 Wananchi wa Kata ya Ngomai wilayani…

13 Novemba 2023, 4:07 um

Wanafunzi watakiwa kutofumbia macho vitendo vya rushwa

Na Seleman Kodima. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Alhaji Jabiri Shekimweri  amewataka wanafunzi wa Shule za Sekondari Dodoma kupinga, kuchukia na kutofumbia matendo ya rushwa. Rai hiyo ameitoa wakati akizungumza na shule 12 ambazo ziliingia fainali katika  shindano la Mdahalo…

13 Novemba 2023, 10:18 mu

Wanafunzi kidato cha nne waanza mtihani wa taifa

Na mwandishi wetu Wanafunzi 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa leo. Taarifa iliyotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), imeeleza kuwa mwaka huu kuna ongezeko la watahiniwa 8, 633 sawa na…

12 Novemba 2023, 7:43 um

Wanafunzi 4953 kidato cha nne Bunda kuanza mtihani Nov 13

Wanafunzi wapatao 4953 kidato cha nne wanatarajia kuanza mtihani wa kuhitimu kidato cha nne wilayani Bunda kati yao wasichana ni 2470 na wavulana 2483. Na Adelinus Banenwa Wanafunzi wapatao 4953 kidato cha nne wanatarajia kuanza mtihani wa kuhitimu kidato cha…

9 Novemba 2023, 8:05 mu

Ujenzi wa Sekondari Bunda Mjini wafikia 85%

Ujenzi wa shule ya Sekondari ya Bunda Mjini unagharimu shilingi 584 mil chini ya mradi wa SEQUIP yafikia asilimia 85. Na Adelinus Banenwa Ujenzi wa shule ya Sekondari ya Bunda Mjini unagharimu shilingi 584 mil chini ya mradi wa SEQUIP…

8 Novemba 2023, 3:35 um

MEMKWA mkombozi kwa watoto Nagulo Bahi

Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Watoto Walioikosa MEMKWA ni moja ya jitihada za kufikia malengo ya maendeleo  endelevu hasa Elimu bora. Na Mariam Kasawa. Wakazi wa mtaa wa Nagulo Bahi Kata ya Bahi wametakiwa kujitokeza kuwaandikisha watoto kwaajili ya…