Afya
20 March 2023, 4:54 pm
Kisa Kupimwa VVU Wanaume Kutowasindikiza Wake zao Kliniki
MPANDA Hofu ya kukutwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi imetajwa kuwa ni moja ya sababu kwa baadhi ya wanaume katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi kushindwa kuwasindikiza wenza wao kwenye vituo vya kutolea huduma za kilinic pindi…
17 March 2023, 5:04 pm
Mapambano dhidi ya upungufu wa kuona unao epukika ifikapo 2030 yaendelea…
Kwa mujibu wa makadirio ya shirika la afya duniani WHO Sababu kubwa zikiwa ni mtoto wa jicho na shinikizo la macho. Na Mindi Joseph. Watu wenye matatizo ya kuona kwa kiwangao cha kati na cha juu hapa nchini wanakadiriwa kuwa…
16 March 2023, 14:43 pm
Manispaa ya Mtwara yaanza kutoa chanjo ya Surua na Rubella
Na Gregory Millanzi. Kutokana na uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa Surua na Rubella wataalamu wa afya kupitia kitengo cha afya kinga Manispaa ya Mtwara-Mikindani wameendelea kutoa huduma ya chanjo ya Surua na Rubella kwa watoto wenye umri chini ya…
14 March 2023, 5:20 pm
WAKAZI ZAIDI YA 120,000 WILAYANI MASWA MKOANI SIMIYU HAWAJACHANJA CHANJO YA CO…
Na Alex Faida Sayi. Halimashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu kupitia wataalamu wa Afya na waratibu wa chanjo Wilayani hapo imejipanga kuhakikisha inawafikia wakazi zaidi ya (120,000) ambao hawakuweza kuchanja chanjo ya Covid 19,tangu zoezi hilo lilipoanza kutekelezwa Augost.21.2021,huku ikiwaasa…
13 March 2023, 5:49 pm
Uhaba wa wachangia Figo waendelea kuwa kikwazo
Mpaka sasa Hospitali ya Benjamin Mkapa imefanikiwa kupandikiza Figo wagonjwa 33 kati ya hao wagonjwa 22 walipandikizwa Figo na wataalamu wazawa. Na Mindi Joseph. Ukosefu wa wachangiaji Figo umetajwa kuendelea kuwa kikwazo kwani Wananchi wengi hawapo tayari kujitolea kuchangia Ndugu…
9 March 2023, 12:23 pm
Wananchi Waendelea Kuaswa Kuchukua Tahadhari Dhidi ya Ugonjwa wa Surua
KATAVI. Wananchi mkoani Katavi wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari juu ya mripuko wa ugonjwa wa surua na kutakiwa kufika kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya pindi wazionapo dalili za ugonjwa huo. Wito huo umetolewa na mratibu wa huduma za chanjo…
8 March 2023, 1:40 pm
Wananchi waishukuru serikali kwa kusaidia ujenzi wa kituo cha afya
Wananchi wa Kata ya Itiso Wilaya ya Chamwino wameishukuru Serikali kwa jitihada za kuboresha huduma za afya kwa kuwasaidia ujenzi. Na Victor chigwada. Wananchi wa Kata ya Itiso Wilaya ya Chamwino wameishukuru Serikali kwa jitihada za kuboresha huduma za afya…
March 6, 2023, 5:32 pm
Wanafunzi Iwawa Sekondari wapigwa Msasa kuhusu Lishe
Afisa Lishe Jackilne Nanauka akizungumza na wanafunzi wa Iwawa Sekondari walipo katika Club ya Lishe
March 4, 2023, 8:31 pm
Wahimizwa Matumizi Bora ya Vyoo Makete
Mtaalamu wa Afya na Mazingira akitoa maelezo namna ya kutumia choo cha Kisasa
4 March 2023, 6:05 pm
Usafi Shule za Msingi Waelezwa Chanzo cha Magonjwa ya Kuambukiza
MPANDA Baadhi ya wazazi na walezi halmashuri ya manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametoa Maoni ya usafi wa vyoo katika shule za msingi na kuomba serikali kuendelea kusimamia ili kuwanusuru wanafunzi na magonjwa ya kuambukizwa ikiwemo UTI. Wakizungumza na kituo…