Radio Tadio

Afya

3 July 2023, 14:50

Waganga tiba asili, wakunga 28 watunukiwa vyeti

Mafunzo hayo yaliyodumu kwa muda wa wiki moja yametolewa na wakufunzi kutoka Taasisi ya afya na sayansi shirikishi Dodoma (DIHAS) (Dodoma Institute of Health and allide Science). Na Alfred Bulahya. Jumla ya waganga wa tiba asili na wakunga 28 kutoka…

23 June 2023, 8:10 am

Ushauri: Zingatieni lishe bora kwa watoto

Wazazi na walezi kijiji cha Ihela Kata ya Tandala wilayani Makete wamekumbushwa namna ya kuzingatia lishe bora kwa watoto ili kuhakikisha wanakuwa na Afya imara. Akizungumza na Wazazi na walezi wa kijiji hicho tarehe 21 Juni, 2023 Bi. Jackline Nanauka…