Radio Tadio

Afya

6 April 2023, 2:29 pm

Wananchi Nguji kuondokana na tatizo la huduma za afya

Jengo la zahanati ya nguji ni miongozi mwa majengo mapya zaidi ya saba ya kutolea huduma za afya yanayoendelea kujengwa wilayani Bahi. Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Nguji wilayani Bahi wanatarajia kuondokana na tatizo la kukosa huduma za…

4 April 2023, 3:48 pm

Ufahamu ugonjwa wa P.I.D

Maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke yanayosababishwa na bakteria wakati mwingine huweza kupelekea ugumba. Ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi P.I.D ni moja kati ya magonjwa ya zinaa yanayoweza kusababisha ugumba kwa mwanamke endapo hatapatiwa tiba kwa wakati.

30 March 2023, 7:23 pm

Halmashauri zatakiwa kuhakikisha watoto wanapatiwa chanjo

Amewataka wataalamu wa afya kila wanapo kwenda kufanya huduma za mkoba lazima na huduma ya utoaji chanjo iwepo . Na Alfred Bulahya Serikali kupitia Wizara ya Afya imewataka Waganga wakuu wa Mikoa na Halmashauri nchini kuhakikisha watoto wote chini ya…

30 March 2023, 6:52 pm

Zaidi ya wananchi 2249 wapatiwa elimu ya kujikinga na MARBURG

Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imefanikiwa kufikia makundi mbalimbali ya watu ikiwemo  wahudumu wa afya  ngazi jamii  na Wahudumu wa Afya Vituoni. Na Mindi Joseph. Elimu ya kujikinga na ugonjwa wa Marburg imeendelea kutolewa kwa  kila mtanzania…

29 March 2023, 10:13 AM

Jamii ya wafugaji Lukuledi wakosa chanjo ya UVIKO 19

 Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi inayosababisha jamii za wafugaji kuhamahama kutafuta malisho kumechangia kwa kiasi kikubwa kupelekea jamii kukosa kupata baadhi ya huduma za kijamii Hayo yamesema na baadhi ya Jamii ya wafugaji ambao wanafanya shughuli zao za ufugaji…