Afya
June 21, 2023, 7:47 am
Hospitali wilaya Makete yapokea jokofu la kuhifadhia maiti
Mapokezi ya Jokofu la kuhifadhia Maiti Hospitali ya Wilaya ya Makete
16 June 2023, 7:20 pm
Wananchi Dilifu wajitokeza kuchangia damu
MPANDA Wananchi wa kijiji cha Dilifu kata ya Magamba manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamejitokeza kuchangia damu katika kuadhimisha siku ya Wachangiaji damu Duniani. Wakizungumza na Mpanda Radio Fm wananchi hao wamesema kuwa wameamua kutoa damu ili kuweza kuwasaidia wanaohitaji…
16 June 2023, 2:28 pm
Vijana Kikuyu waipongeza serikali kuwasogezea huduma, elimu ya Afya
Katika kata ya Kikuyu Kaskazini watu 103 wamepata elimu na kupima masuala ya lishe ambapo asilimia 12.6% walibainika na utapiamlo, watu 80 wakipata elimu juu ya Magonjwa yasiyo ya kuambukiza na Bonanza hilo linatarajiwa kuhitimishwa siku ya kesho Jumamosi Makulu.…
16 June 2023, 1:54 pm
Vijana Kongwa wapokea bonanza la afya
Afisa lishe wilaya Kongwa Bi. Maria Haule amesema vijana lika balehe wakike wanatakiwa kujenga utaratibu wa kula vyakula vinavyoongeza damu ili kusaidia kurudisha damu inayopotea wakati wa hedhi. Na Bernadetha Mwakilabi. Wilaya ya Kongwa imepongeza na kushukuru wizara ya afya…
14 June 2023, 6:00 pm
Vituo vya afya vyatakiwa kununua majokofu ya kuhifadhia mazao ya damu
Tanzania leo imeungana na mataifa mbalimbali duniani kuadhimisha siku ya Wachangia Damu Duniani ambayo inalenga kuongeza ufahamu na kuwashukuru wafadhili wa damu wa hiari, wasiolipwa kwa zawadi zao za kuokoa maisha. Na Mindi Joseph. Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu…
14 June 2023, 3:24 pm
Asilimia 97 watumiaji dawa wamefanikiwa kufubaza virusi vya Ukimwi
Waziri Ummy ametoa wito kwa Watanzania kwenda kupima kujua hali zao lakini kwa ambao wanajua hali zao dawa za UKIMWI zipo na zinatolewa bila malipo na vipimo vya kujipima mwenyewe vipo kwahiyo Watanzania wajitokeze kupima ili tutokomeze UKIMWI ifikapo mwaka…
June 9, 2023, 7:51 am
Dawa za P2 si kila mtu anapaswa kuitumia
Dawa za P2 ni kwa ajili ya Dharura na si vinginevyo
June 8, 2023, 10:23 am
Wanaume washauriwa kuona wataalam tatizo nguvu za kiume
Wanaume washauriwa kwenda kwa Wataalamu tatizo la Nguvu za Kiume
7 June 2023, 6:18 pm
Serikali yatenga zaidi ya milioni 725 kuzuia, kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza
Dkt. Mollel amesema hayo, leo Juni 7, 2023 wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu Mhe. Bernabetha Kasabago Mushashu katika Bunge la kumi na mbili Mkutano wa kumi na moja kikao cha 42, Jijini Dodoma. Na Alfred Bulahya. NAIBU…
3 June 2023, 14:50 pm
Kipindi: Fahamu ulemavu aina ya mguu kifundo au unyayo uliopinda
Siku ya mguu kifundo au unyayo uliopinda inaadhimishwa leo Juni 3, 2023 katika wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Jamii FM Radio kwa kushirikiana na Hospital ya Rufaa Kanda ya Kusini (SZRH) tumetoa elimu kwa jamii juu ya aina hii ya…