Radio Tadio

Afya

11 September 2023, 3:17 pm

Wanahabari kuwa mabalozi kutoa elimu ya sikoseli

Mkoa wa Tabora unashika nafasi ya nne miongoni mwa mikoa yenye waathirika wengi wa ugonjwa wa sikoseli nchini. Kaimu Mkurugenzi wa hospital ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete Dkt. Renatus Burashahu amewaomba waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele…

11 September 2023, 12:11 pm

Zaidi ya watoto elfu 99 kupata chanjo ya polio Karagwe

Watoto 99,159 wilayani Karagwe watakuwa miongoni mwa watoto 3,250,598 wenye umri wa chini ya miaka minane watakaopata chanjo ya kinga ya polio katika kampeni ya chanjo kitaifa Septemba 21-24 mwaka huu. Na. Tumaini Anatory Kwa mujibu wa mratibu wa chanjo…

10 September 2023, 8:53 pm

Wazee watakiwa kuchangamkia bima ya afya

Na. Jovinus Ezekiel Missenyi Wazee katika kata ya Bugandika wilayani Missenyi mkoani Kagera wametakiwa kujiunga na bima ya afya ya CHF iliyoboreshwa kwa lengo la kuwawezesha kunufaika na huduma za matibabu. Akiongea   na wazee wa  kikundi cha  wazee Bikolw’engonzi kilichopo katika…

8 September 2023, 13:34

Zaidi ya watoto 884,500 kupatiwa chanjo ya polio Kigoma

Na, Josephine Kiravu Zaidi ya watoto 884,500 walio chini ya miaka 8  wanatarijiwa kufikiwa na kupatiwa chanjo ya Polio ambayo itaanza kutolewa nyumba kwa nyumba kuanzia septemba 21hadi 24 Mkoani Kigoma. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa kamati ya…

6 September 2023, 1:47 pm

Wajawazito wahimizwa kutumia dawa kinga

Kwa mujibu wa wataalam wa afya, wanasisitiza suala la akina mama kupata dawa kinga kwani zimekuwa na umuhimu kwa afya ya mama na mtoto. Na Naima Chokela.                     Imeelezwa kuwa upo umuhimu kwa mama mjamzito kupatiwa dawa kinga katika kipindi cha…