Radio Tadio

Afya

16 September 2023, 11:20 pm

Storm FM yazindua kipindi kipya cha Afya Chikobe

Katika kuelekea miaka 9 ya uwepo wa Kituo cha redio cha Storm FM mkoani Geita, tunayo furaha kukufahamisha juu ya uwepo wa kipindi kipya cha “Sauti Ya Tiba” ambacho kitajikita katika kutoa elimu na taarifa sahihi juu ya magonjwa mbalimbali. Na…

16 September 2023, 1:21 pm

Ishololo waondokana na adha ya kutembea umbali mrefu

Ubunifu wa ujenzi wa miradi kupitia fedha za TASAF umekuwa na matokeo chanya hususani maeneo ya vijijini ambayo yalikuwa yakikabiliwa na changamoto ya huduma za jamii kama afya, maji na elimu. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Ishololo wilayani…

15 September 2023, 6:39 am

Jamii yatakiwa kuwa na desturi ya kufanya mazoezi

Ikumbukwe kuwa Idara ya Kinga, Wizara ya Afya imeanzisha Mpango kwa watumishi kufanya mazoezi mara mbili kwa wiki siku ya Jumatano na Ijumaa jioni mara baada ya saa za kazi kuanzia saa 9:30 hadi saa 11:00 jioni. Na Mindi joseph.…

14 September 2023, 16:24

Manispaa ya Kigoma Ujiji yapunguza kiwango cha utapiamlo

Wazazi na walezi Manispa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia lishe kwa watoto wao kwa kuanda na kuwalisha vyakula vye lishe ya kutosha ili kuwakinga na utaopiamlo. Na, Josephine Kiravu Tangu kuanzishwa kwa siku ya afya ya lishe kila…

13 September 2023, 3:27 pm

Ugumu wa maisha  watajwa  kuwa sababu ya watu kujiua

Septemba 10 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya kuzuia kujiua ambapo Kitaifa maadhimisho hayo yalifanyika katika Hospitlai ya Taifa ya akili Mirembe jijini Dodoma. Na Katende Kandolo. Imeelezwa kuwa ugumu wa maisha pamoja na msongo wa mawazo ni miongoni mwa…