Recent posts
5 July 2021, 5:43 pm
Wananchi Waomba Muongozo Chanjo ya Corona
Na,Glory Paschal Wananchi wilayani kasulu mkoani kigoma wameiomba serikali kuharakisha kutoa muongozo wa chanjo ya virusi vya corona ili waweze kupata elimu zaidi kuhusu chanjo hiyo ya virusi vya corona ambayo wamekuwa wakiisikia kutoka nchi jirani Wamesema hayo Wakati Wakizungumza…
24 June 2021, 7:31 pm
Jeshi la polisi latakiwa kufanya kazi zao kwa weledi
Na,Glory Paschal Watendaji wa Jeshi la polisi pamoja na mahakama Mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi zao kwa weledi ili kutokomeza mimba za utotoni Hayo yameelezwa na Katibu Tawala Mkoani hapa Rashid Kassim Mchatta katika mkutano wa utetezi kuhusu haki za…
7 June 2021, 5:14 pm
Michango katika shule za msingi na sekondari ni hiari
Na,Mwanaid Suleiman Serikali imesema uchangiaji wa michango katika shule za msingi na sekondari ni wa hiari na hauusishwi kwa wanafunzi kuzuia masomo yao ikiwa hajalipa michango hiyo Hayo yamejiri leo bungeni jijini Dodoma wakati Naibu waziri wa TAMISEMI mh David…
4 June 2021, 7:51 pm
Wakazi wa Matendo watembea umbali mrefu kufuata maji
Na,Glory Paschal Wananchi wa Kijiji cha Pamila Kata ya Matendo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Wameiomba Serikali kuwasaidia kupeleka huduma ya maji kwani wanalazimika kutembea umbali mrefu kutafuta maji na kushindwa kufanya shughuli za maendeleo Wakizungumza na Radio Uvinza Fm, Wananchi…
1 June 2021, 4:26 pm
Mradi wa maji kakonko wafikia asilimia 65
Na,Rosemary Bundala Serikali imesema hadi kufikia disemba 2020 tayari miradi kumi na tano ilikuwa inatekelezwa katika wilaya ya kakonko ambapo miradi kumi na nne imekamilika na inatoa huduma ya maji kwa wananchi na mradi mmoja uliobaki ni mradi wa kakonko…
28 May 2021, 7:29 pm
Serikali kuendelea kutatua migogoro ya ardhi
Na,Mwanaid Suleiman Serikali imesema inaendelea kutatua migogoro ya ardhi ili wananchi waweze kufanya shughuli zao kwa amani na utulivu Hayo yamejiri leo bungeni jijini Dodoma wakati naibu waziri wa ardhi nyumba maendeleo na makazi mh Angelina mabula alipokua akijibu swali…
28 May 2021, 7:15 pm
Serikali kutenga fedha kwa ajili ya kutengeneza barabara
Na,Rosemary Bundala Serikali imesema itaendelea kutenga fedha katikaWizara ya ujenzi ili kuzifanyia matengenezo barabara korofi kwa kadri upatikanaji wa fedha utakavyokuwa unaendelea kuimarika Hayo yamejili leo bungeni jijini Dodoma wakati naibu waziri wa nchi ofisi ya rais tawala za mikoa…
27 May 2021, 5:32 pm
Serikali yaahidi kuwalinda raia na mali zao
Na,Rosemary Bundala Serikali imesema inaendelea kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unaendelea kuimarika na kuhakikisha kuwa wananchi wanaendelea na shughuli zao za kila siku kwa amani na utulivu Hayo yamejiri leo bungeni jijini Dodoma wakati waziri mkuu Kassim Majaliwa…
27 May 2021, 4:55 pm
Wananchi waiomba Serikali kudhibiti maeneo hatarishi
Na,Glory Paschal Wananchi Mkoani Kigoma wameitaka Serikali kudhibiti maeneo hatarishi ya mito na mabwawa machafu yanayochochea ongezeko la magonjwa ya kichocho na minyoo hasa kwa watoto Wamesema maeneo mengi yamejaa maji Machafu hivyo ni muhimu elimu ikatolewa kwa kuwashirikisha wananchi…
26 May 2021, 7:28 pm
Serikali kuboresha mifumo ya upatikanaji wa pembejeo
Na,Rosemary Bundala Serikali imesema imenza kuboresha mifumo ya upatikanaji wa pembejeo kwa maana ya mbolea mbegu na viwatilifu ,kuratibu mahitaji ya pembejeo kutoka katika mikoa na kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya makampuni kupeleka na kuuza Hayo yamejiri leo bungeni…