Uvinza Fm

Recent posts

18/05/2021, 7:33 pm

Wafanyabiashara walia na ulinzi

Na,Mwanaid Suleiman Baadhi ya wafanyabiashara wa Soko la Uvinza Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma wamesema wanashindwa kuongeza bidhaa katika maduka yao kutokana na kuhofia usalama uliopo katika eneo hilo Hayo yamebainishwa na JUMA RASHID pamoja na TAMIM JACKSON wakati Redio Uvinza…

17/05/2021, 5:30 pm

Wananchi walia na zahanati

Na,Timotheo Leonardi Wananchi wa Kitongoji cha Kazaroho Kijiji cha Ruchugi Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma wameiomba serikali kuwajengea Zahanati katika kitongoji hicho, ilikuondoa usumbufu ambao wamekuwa wakikutananao kinamama wajawazito, kwa kutembea umbali mrefu hali ambayo hupelekea wakati mwingine kujifungulia njiani Wakizungumza…

13/05/2021, 5:28 pm

NBC yazindua klabu ya Wafanyabiashara

Benki ya NBC imezindua klabu ya wafanyabiashara wa benki hiyo mkoani Kigoma ikiwa ni sehemu ya mipango ya benki hiyo kusogeza huduma kwa wateja wake sambamba na kujenga mtandao ambao utawasaidia  wafanyabiashara  ,na wateja wa benki hiyo kufanya biashara zao…

12/05/2021, 4:40 pm

KUWASA wakanusha kuwabambikizia bili za maji wateja

Na,Glory Paschal Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Kigoma Ujiji, KUWASA wamekanusha taarifa  iliyotolewa na Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na Maji Ewura kuwa wamekuwa wakiwabambikiza bili za maji wateja Akizungumza  na Waandishi wa…

10/05/2021, 4:35 pm

Kilomita kumi za lami zawanyima usingizi Wananchi

Na,Timotheo Leonardi Wananchi wa kijiji cha Uvinza Mkoani Kigoma wameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara ya kilomita 10 yenye kiwango cha lami iliyoahidiwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Wakizungumza katika mkutano wa…

07/05/2021, 1:28 pm

Makubaliano ya Mkataba wa Mdomo yanyoshewa kidole

Na, Timotheo Leonardi Mkurugenzi wa kituo cha msaada wa usaidizi wa kisheria Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma Joseph Kanyaboya amewaomba waajiri wa Wafanyakazi wamajumbani, kuhakikisha kuwa wanazingatia taratibu za makubaliano kwanjia ya Mkataba wamaandishi, badala ya makubaliano ya Mdomo akiyataja kuwa…

05/05/2021, 3:49 pm

Sehemu yakufanyia Biashara yawaliza Wajasiriamali

Na, Timotheo Leonardi Baadhi ya Wajasiriamali wa Kijiji cha Uvinza kata ya Uvinza Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma, wamesema wanapata adhaa kubwa wakati wakifanya shughuli zao kutokana na kukosekana kwa eneo maalum la kuuzia bidhaa zao Hayo Wameyasema mbele ya kinasasauti…

28/04/2021, 6:18 pm

Jumuiya ya Dini yatoa pongezi kwa Rais Samia Suluhu

Na,Glory Paschal Jumuiya ya Dini Mbalimbali Mkoani kigoma imetoa Pongezi kwa Mh. Rais Samia Suluhu  kwa  kuwa  Rais wa Tanzania na kuvipa nafasi vyama vya siasa vya Upinzani kupata fursa ya kuonana nae na kuzungumzia mwenendo wa Siasa Nchini Jumuiya…

26/04/2021, 8:02 pm

Wanahabari Wafundwa

Na,Glory Paschal Waandishi wa Habari wametakiwa kutumia kalamu zao kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa masuala ya Ukatili katika kupinga vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto vitendo ambavyo  vimeshamili kwenye jamii Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Media…

23/04/2021, 4:51 pm

Zaidi ya Wanafunzi 600 wafundishwa na Walimu 8

Na,Timotheo Leonardi Shule ya Sekondari Ruchugi iliyopo Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa walimu hali inayopelekea wanafunzi kupata wakati mgumu kufanya vizuri kwenye mitihani yao Hayo yamebainishwa na mkuu wa shule ya Sekondari Ruchugi Godwin Omela…

About us

Uvinza FM is situated in Uvinza District of Kigoma Region, transmitting at FM 96.5 MHz frequency. Uvinza FM is registered under Business names by BRELA and has a broadcasting licence issued by TCRA. It is also incorporated with RITA as a trust.

Uvinza District has unique characteristics of socio economic backwardness. Its culture is predominantly peasant agriculture and animal husbandry has recently migrated into the area.Awareness creation by radio is needed to change mindsets that retard social and economic behavior change. Radio sets are affordable by price and proximity for the general public, NGOs and other institutions.

This radio service is for social investment.The Social Market niche Profile for Uvinza FM Community Radio intervention includes the General Public,GoT, NGO and related projects and institutions.

96.5 Uvinza FM Community Radio is editorially and financially independent community radio station.

VISION:

Communities in of Uvinza and Lake Tanganyika Shore Corridor ecosystems having sustainable soci-political economic and cultural development.

MISSION:

To be a platform for soci-political economic development information by building up knowledge through in depth researched programmes in education, health, agriculture, animal husbandry, entrepreneurship, sports and culture orientations; environmental care, protection and rehabilitation of flora and fauna.

Radio uvinza fm