Recent posts
19/08/2021, 4:45 pm
Wafanyabiashara waishukuru serikali kwa kuondoa vikwazo vya kufanya biashara
Na,Glory Paschal Wafanyabiashara katika halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma wameishukuru serikali kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA kuondoa vikwazo vya kufanya biashara vilivyokuwa vinawakabili ikiwemo kubabikiziwa makadilio ya juu ya kodi na baadhi ya watumishi wasio waadilifu. Wamesema tangu…
19/08/2021, 4:34 pm
Shirika la afya WHO latoa msaada wa baiskeli 100
Na,Glory Paschal Shirika la afya Duniani, WHO limetoa msaada wa baiskeli 100 Mkoani Kigoma kwaajili ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii waliopo katika maeneo ya mipakani na katika kambi za wakimbizi ili kuimarisha ufuatiliaji wa magonjwa ya mlipuko Akikabidhi…
19/08/2021, 4:23 pm
Wazazi na walezi washauriwa kutowaruhusu watoto kusafirishwa
Na,Glory Paschal Wazazi na Walezi Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma wameshauriwa kutoruhusu watoto wao kusafirishwa kwenda kutumikishwa katika shughuli mbalimbali kinyume cha sheria Afisa Ustawi wa Jamii halmashauri ya wilaya Kakonko Bw. Mohamed Shauri amesema baadhi ya wazazi na walezi wamekuwa…
13/08/2021, 7:31 pm
Wafanyabiashara wa vyombo vya moto waiomba serikali kushusha bei ya mafuta
Na,Rosemary Bundala Wafanyabiashara wa vyombo vya moto vya usafiri kutika kijiji cha Ruchugi wilayani uvinza mkoani kigoma wameiomba serikali kuwa tatulia suala la kupanda kwa bei ya mafuta kutokana na hali ya kiuchumi ilivyo kwasasa. Wakizungumza na redio uvinza fm…
12/08/2021, 4:31 pm
Wananchi walia na ukosefu wa maji
Na,Mwanaid Suleiman Wakazi wa kijiji cha Ruchugi Wilayani Uvinza mkoani Kigoma wameiomba serikali kutataua changamoto ya maji inayowakumba katika kijiji hicho hasa katika kipindi cha kiangazi Hayo yamesemwa na baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ruchugi kuwa changamoto hiyo imekua…
11/08/2021, 7:29 pm
Waliopokea chanjo ya uviko 19 afya zao ni salama
Na,Timotheo Leornadi Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Ruchugi kata ya Uvinza wilayani Uvinza Mkoani Kigoma ambao tayari wamepokea chanjo ya UVIKO -19 wamesema ni salama kwa afya, nakwamba wale ambao bado wanamitazamo hasi wakachajwe kulinda maisha yao Hayo wameyasema…
07/07/2021, 4:49 pm
Waziri wa TAMISEMI aziagiza halmashauri kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato
Na,Glory Paschal Waziri wa nchi ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Tamisemi Ummy Mwalimu ameziagiza halmashauri za Mkoa wa Kigoma kuongeza ukusanyaji wa Mapato pamoja na kuhakikisha mapato yanayokusanywa yanatumika kutatua changamoto za wananchi Akizungumza na…
05/07/2021, 5:55 pm
Corona yaathiri Wafanyabiashara wa samaki na dagaa
Na,Glory Paschal Baadhi ya Wavuvi na Wafanyabiashara wa Samaki na Dagaa Mkoani Kigoma Wamesema Kufungwa kwa Mipaka ya Nchi Jirani Kutokana na Maambukizi ya Ugonjwa wa Corona Kumeathiri Biashara zao Wavuvi Pamoja na Wafanyabiashara ambao Wamesema hali ya biashara imekuwa…
05/07/2021, 5:43 pm
Wananchi Waomba Muongozo Chanjo ya Corona
Na,Glory Paschal Wananchi wilayani kasulu mkoani kigoma wameiomba serikali kuharakisha kutoa muongozo wa chanjo ya virusi vya corona ili waweze kupata elimu zaidi kuhusu chanjo hiyo ya virusi vya corona ambayo wamekuwa wakiisikia kutoka nchi jirani Wamesema hayo Wakati Wakizungumza…
24/06/2021, 7:31 pm
Jeshi la polisi latakiwa kufanya kazi zao kwa weledi
Na,Glory Paschal Watendaji wa Jeshi la polisi pamoja na mahakama Mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi zao kwa weledi ili kutokomeza mimba za utotoni Hayo yameelezwa na Katibu Tawala Mkoani hapa Rashid Kassim Mchatta katika mkutano wa utetezi kuhusu haki za…