Triple A FM

Makala ya Uchaguzi 2025: Rushwa siyo fursa

15 October 2025, 10:53 am

Mgombea akijaribu kutoa rushwa kwa mwananchi ambaye anaikataa (Picha kwa msaada wa AI)

Na Joel Headman

Tanzania kama ilivyo kwa nchi zenye mifumo ya kidemokrasia inajiandaa kwa uchaguzi mkuu tarehe 29 Oktoba 2025, unaolenga kupata madiwani,wabunge na rais, viongozi watakaoongoza kwa miaka mitano ijayo. Lakini je unafahamu nini basi kuhusu Rushwa kwenye uchaguzi?