Radio Tadio

usafi

31 January 2024, 12:47

Wananchi watakiwa kuendeleza maeneo yao Kasulu

Wananchi watakiwa kuendeleza maeneo yao ili yasitumike kutupwa takataka. Na Emmanuel Kamangu. Wananchi katika halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuendeleza maeneo yao ya viwanja ambayo yako wazi ili kuepuka kuwa na vichaka ambavyo haviakisi dhana ya usafi…

15 December 2023, 2:23 pm

Wananchi waaswa juu ya usafi wa mazingira

Wananchi Katavi washauriwa kuweka mazingira katika hali ya usafi ili kutokomeza mazalia ya mbu. Na Leah Kamala – Mpanda Wananchi Maanispaa ya Mpanda mkoani Katavi  Katavi wameshauriwa kuweka mazingira katika hali ya usafi ili kutokomeza mazalia ya mbu katika msimu huu…

19 September 2023, 12:46

Vikundi vya usafi vyaomba ushirikiano maeneo wanayofika kufanya usafi

Mazingira ni sehemu yoyote inayomzunguka binadamu na mazingira hayo ili kuepusha athari ikiwemo magojwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu hayana budii kuyalinda kwa kuhakikisha yanakuwa safi wakati wote. Na Sadoki Mwaigaga Wafanyabiashara wa soko la Sido jijini Mbeya wameshauriwa kutoa ushirikiano…

6 September 2023, 1:07 pm

Mkurugenzi Bunda Mji aonya uchafuzi wa mazingira

Mkurugenzi Mkongo amesema wameazimia kutoa maelekezo kwa wafanyabiashara wote hasa wenye maduka kuwa na vitunza taka katika maeneo yao huku wamiliki wa baa na hoteli kuwa na vitunza taka vya aina tatu kwa ajili ya taka ngumu, zinazooza na chupa.…

10 August 2023, 2:28 pm

Baba, mama lishe watakiwa kuzingatia usafi

Watoaji wa huduma ya vyakula katika maeneo mbalimbali ikiwamo migahawa na hotel wanashauriwa kuwa katika hali ya usafi ikiwemo uvaaji wa mavazi nadhifu ili kulinda afya ya walaji. Na Mariam Msagati. Usafi binafsi kwa wafanyabishara wanaojihusisha na biashara ya kuuza…