mafuta
23 June 2026, 10:20 am
Watumishi watakiwa kutenda haki
“Niwapongeze sana kufanya bonanza hili katika mkoa wetu wa Katavi” Na Betord Chove Watumishi wa taasisi zinazohusiana na kutoa haki wametakiwa kushirikiana ili kuweza kutenda haki kwa wananchi katika kutekeleza majukumu yao. Wito huo umetolewa na Katibu tawala wa mkoa…
20 June 2026, 13:15
Tamasha la urithi wa Ujiji kuhimiza madili kwa vijana Kigoma
Tamasha la Urithi wa Kihistoria na Utamaduni la Mji Mkongwe wa Ujiji lina umuhimu mkubwa katika kuhifadhi na kuendeleza historia, tamaduni na maadili ya jamii Na Lucas Hoha Tamasha la urithi wa kihistoria na utamaduni katika mji mkongwe wa Ujiji…
21 May 2026, 8:27 pm
BUWSSA yawadai wateja shilingi milioni 200 za ankara za maji
Baadhi ya miradi imesimama kutokana na changamoto ya upatikanaji wa fedha. Miradi hiyo ni pamoja na mradi wa maji wa Kisangwa, mradi wa ubadilishaji wa mabomba kutoka Migungani kwenda Mlima Kaswaka, pamoja na mradi wa maji taka ambao umefikia asilimia…
24 April 2026, 6:46 pm
Zaidi ya 1800 wanufaika na kambi ya madaktari bingwa Manyara
Zaidi ya wananchi 1800 wamenufaika kwa kufanyiwa uchunguzi na matibabu katika kambi maalum ya matibabu na upasuaji katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Manyara na kuhudumiwa na madaktari bingwa na wataalamu bobezi kutoka Marekani kuanzia april 19 hadi april 24,2026.…
14 October 2025, 11:19 am
Wanasimba wazindua mnara wa kisasa Mpomvu
“Vilevile tunaendelea kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii kwa kushirikiana na serikali ikiwemo sekta za Afya na elimu” – Katibu wa tawi la Simba Mpomvu Na: Edga Rwenduru Mashabiki na wanachama wa klabu ya Simba katika mtaa wa Mpomvu uliopo…
14 September 2023, 16:58
Madiwani Kibondo walia na wafanyabiashara wanaoficha mafuta
Wakati wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto Nchi wakiendelea kuteseka na uhaba wa mafuta kwenye vituo vya mafuta huko Kibondo madiwa wameeleza kuwa wanaoficha mafuta ni uhujumu uchumi. Na, James Jovin Madiwani katika halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani…
11 September 2023, 5:01 pm
DC Mbeya awatoa hofu wananchi uhaba wa mafuta
Kumekuwa na hofu kubwa kwa watanzania juu ya uhaba wa mafuta nchini ,hofu kubwa kupanda kwa bei ya nauli endapo kutakuwa na na uhaba wa mafuta nchini by samweli mpogole Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mh Beno Malisa amewatoa hofu…
7 September 2023, 12:22
Madereva jijini Dodoma walia na bei ya mafuta
Serikali imetangaza bei mpya ya mafuta ambapo kwa sasa wastani wa bei kikomo kwa mkoa wa Dodoma ni shilingi 3271 kwa mafuta ya petrol, shilingi 3318 kwa mafuta ya diseli na mafuta ya taa shilingi 3002. Na Katende. Wamiliki wa…
9 August 2023, 1:03 pm
Kilio cha kupanda bei ya mafuta chawafikia abiria
Mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Agosti 2023 yamechagiza waendesha vyombo vya moto mjini Geita kuongeza bei kiholela. Na Zubeda Handish- Geita Baadhi ya wananchi mkoani Geita wamezungumzia juu ya kadhia wanayokumbana nayo kwa waendesha vyombo vya usafiri ya…
2 August 2023, 1:50 pm
Waendesha vyombo vya moto walia ongezeko bei ya mafuta
Siku chache zilizopita ilitokea changamoto ya uhaba wa mafuta ya petroli na dizeli mkoani Geita na Tanzania, licha ya Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba kuthibitishiwa kuwepo kwa mafuta ya kutosha kwenye maghala ya kuhifadhia mafuta nchini. Na Zubeda Handrish-…