Mpanda FM

MAENDELEO

30 June 2026, 19:31

Dkt. Mwinyi: PBZ ni nguzo ya uchumi wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) imeendelea kuwa nguzo muhimu ya maendeleo ya uchumi na kuwataka kuongeza uwekezaji katika huduma za kidijitali ili kuboresha huduma kwa wananchi. Akizungumza katika maadhimisho ya miaka…

20 June 2026, 15:06

PBZ yatoa gawio la bilioni 15.3 kwa SMZ

Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) imekabidhi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar gawio la zaidi ya shilingi bilioni 15.3, ikiwa ni ongezeko la asilimia 53 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Juma Malik Akil, amepongeza mafanikio…

11 June 2026, 14:44

Wananchi wapongeza maboresho ya afya Zanzibar

Wananchi wa Zanzibar wamepongeza juhudi za Serikali ya Awamu ya Nane kwa kusogeza huduma za afya za kibingwa katika hospitali za wilaya, hatua iliyopunguza gharama na usumbufu wa kusafiri nje ya visiwa kwa matibabu. Na Mary Julius. Serikali ya Awamu…

10 June 2026, 14:54

Ujenzi MUHAS Kigoma wafikia 78.9%

Katibu tawala Mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa amewataka wananchi wa Mkoa wa Kigoma kutoa ushirikiano na kulinda miradi ya maendeleo ambao inaendelea kutekelezwa. Na Mwandishi wetu Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Kampasi ya Kigoma,…

4 June 2026, 12:37

Kituo cha afya chazinduliwa Uvinza

Huduma za afya karibu na maeneo ya wananchi husaidia kupunguza gharama na muda wa kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya mbali za maeneo. Na Mwandishi wetu Wananchi wa Kata ya Sunuka na maeneo jirani wamepata ahueni baada ya kuzinduliwa…