Mpanda FM

MAENDELEO

2 April 2024, 10:23 pm

Wizi koki za maji Katavi chanzo cha kukosekana huduma ya maji

Picha na Mtandao Wizi wa koki uliokuwa unafanywa na wahalifu ulichangia kwa kiasi kikubwa kukosekana  kwa maji  katika mtaa wa Mpanda hoteli. Na Samwel Mbughi-Katavi Wananchi wa Mtaa wa Mpanda Hoteli Manispaa ya Mpanda mkoani  Katavi wametoa Shukrani kwa Serikali…

29 March 2024, 2:30 pm

Wananchi Karema wafikisha kilio chao kwa RC Katavi

Wananchi wa kata ya Karema wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi wakiwa katika Mkutano .Picha na Anna Milanzi “Upepo mkali uliovuma Machi 16 na March 24,  2024 na maji  ya ziwa Tanganyika kuingia katika makazi ya watu , jumla ya…

19 March 2024, 3:19 pm

Katavi, Wafanyabiashara 24 Mbaroni Kupandisha bei ya Sukari

Picha na Mtandao “Ni wajibu wa kila mfanyabiashara kuzingatia bei  elekezi inayotolewa na Serikali ili kupunguza usumbufu kwa mlaji“ Na Betord Benjamin-Katavi Jumla ya Wafanyabiashara 24 Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani  Katavi wamekamatwa kutokana na kuuza sukari kinyume na bei…

7 March 2024, 3:29 pm

Wanawake Katavi wapanda miti kutunza mazingira

“Miti hiyo inayopandwa itakuwa ni kumbukumbu ya maadhimisho ya siku ya mwanamke mwaka huu lakini pia ni sehemu uendelezaji wa utunzaji mazingira mkoani hapa“ Na Deus Daud-katavi Kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani  manispaa ya Mpanda imefanya…

7 March 2024, 2:31 pm

MPANDA, Madiwani Wahofia Bajeti Ya TARURA

“Madiwani Wa Halmashauri ya Manispaa Ya Mpanda Wameonyesha Kutoridhishwa Na Bajeti Hiyo Na Kumtaka Manager Wa Tarura Kwenda Kupitia Upya Na Kuiwasilisha Kwa Baraza Hilo Ifikapo Jumatatu ya tarehe 11 mwezi wa tatu mwaka huu” Picha na Deus Daud Na…

9 February 2024, 2:41 pm

Sungusungu Mpanda wageuka vibaka

Na John Benjamin-Katavi Baadhi ya wananchi katika mtaa wa Airtel kata ya Uwanja wa Ndege halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani  Katavi wamelalamikia kuwepo kwa kundi ambalo limekuwa likijitambulisha kuwa ni ulinzi shirikishi ambalo limekuwa likifanya matukio ya kiharifu kama…

9 February 2024, 2:29 pm

Wananchi Katavi watakiwa kuacha kuchukua mikopo umiza

Wananchi wamehimizwa kujenga tabia ya kuchukua mikopo katika taasisi za kifedha zinazozingatia sheria na miongozo ya serikali zikiwemo benki ili kuepuka usumbufu wa mikopo umiza. Na Veronica Mabwile-Katavi Imeelezwa kuwa Uwepo wa Elimu ndogo juu ya madhara ya tokanayo na…