Mpanda FM
Mpanda FM
24 April 2026, 21:49
Waziri wa Kazi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff, amesema Tamasha la Uwekezaji Zanzibar 2026 litakuwa jukwaa muhimu la kukuza uchumi na maendeleo endelevu. Tamasha hilo, lililoandaliwa na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar, litafanyika kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026 katika…
16 April 2026, 13:22
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanzisha mpango wa miaka mitano wa kujenga vituo vya kulelea watoto ili kuwasaidia kina mama wafanyabiashara katika masoko mbalimbali. Mpango huo unalenga kuhakikisha watoto wanapata malezi bora, afya njema na usalama katika mazingira rafiki. Na…
10 April 2026, 14:35
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Fahad Soud Hamid, amesema mikopo na uwezeshaji imeongezeka kwa asilimia 28, huku faida kabla ya kodi ikipanda kwa asilimia 20 kutokana na kuimarika kwa mapato na udhibiti wa matumizi. Aidha, benki…
10 April 2026, 08:43
Na Fredrick Siwale Wafanyabiashara wa Soko la Mashujaa Halmashauri ya Mji Mafinga wameiomba serikali kuwapatia Mikopo ili waweze kukuza mitaji yao. Akizungumza na Nuru FM Mwenyekiti wa Soko la Mashujaa Bw. Devick Kihindo amesema kuwa wajasiriamali wengi wanatamani kupata mikopo…
8 April 2026, 09:40
Meza hizo zimekabidhiwa ikiwa ni hatua ya kuwafanya wajasiriamali wafanye kazi zao katika mazingira rafiki. Na Fredrick Siwale Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini Mh. Dickson Lutevele Villa ametimiza ahadi yake kwa kukabidhi meza 90 kwa wajasiriamali wa Soko la…
3 April 2026, 09:37
Nauli imepanda jambo lililopelekea baadhi ya abiria kuiomba mamlaka husika kutangaza bei halisi. Na Telesia Chalamila Baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza ongezeko la bei ya mafuta, madereva wa vyombo vya usafiri wa…
30 March 2026, 10:10
Na Musa Mtepa Wananchi wa vijiji vya Namuhi na Mnyija wamejikuta katika wakati mgumu wa mawasiliano kufuatia kukatika kwa daraja linalounganisha vijiji hivyo, baada ya kufurika kwa maji yanayotoka Bwawa la Kitere kupitia Mto Mambi unaotenganisha maeneo hayo. Wakizungumza na…
27 March 2026, 12:55 pm
“Wananchi wanaendelea kupata elimu ya masuala ya ukatili wa kijinsia pamoja na haki za binadamu na elimu ya ujasiliamali kwa vijana ili waweze kujihimarisha kiuchumi.” Na Anna Milanzi- Katavi Taasisi isiyo ya kiserikali ya Tuelimike iliyopo mkoani Katavi imefanya mkutano…
25 March 2026, 16:32
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Juma Malik Akil, amesema Zanzibar itapata umeme wa uhakika ndani ya miezi michache ijayo kutokana na miradi mipya ya nishati. Amesema serikali inawekeza katika umeme wa jua na upepo ili kuongeza uzalishaji hadi…
20 March 2026, 22:29
Mbunge wa Jimbo la Fuoni, Asha Hussein Saleh, amegawa nyama ya ng’ombe kwa zaidi ya wananchi 200 ili kuwawezesha kusherehekea Eid el-Fitr kwa furaha. Hatua hiyo imelenga kuwasaidia wenye mahitaji maalum hasa. Na Mary Julius Katika kuhakikisha wananchi wenye mahitaji…