Mpanda FM

MAENDELEO

15 May 2024, 11:59 pm

Mpanda Madiwani WaivaaTanesco Umeme Kukata Mara kwa Mara

“Kukatika kwa umeme baadhi ya maeneo imekuwa inajirudia na kumekuwa hakuna taarifa kutoka mamlaka husika jambo ambalo limekuwa likipeekea changamoto ya kusimama kwa baadhi ya kazi za watu zinazotegemea nishati ya umeme” Picha na Lilian Vicent Na Lilian Vicent-Katavi Wananchi…

15 May 2024, 11:12 pm

Rc Katavi, Wazazi Zungumzeni na Watoto Kulinda Maadili

Mkuu wa mkoa wa katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko alipokuwa akitoa hotuba kwa Wananchi katika viwanja vya kituo cha Afya Nsemulwa katika siku ya familia duniani. Picha na Gladness Richard Kauli mbiu ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu ni ‘Tukubali tofauti…

1 May 2024, 11:25 pm

Waendesha bodaboda mkoani Katavi wapaza sauti zao kuhitaji uchaguzi

picha na mtandao “Tunasababishiwa ajali ,tunagongwa na Magari bodaboda tunapigwa ,tunanyanyasika “ Na Lilian Vicent -Katavi Waendesha bodaboda mkoani Katavi Wametaka kufanyika kwa uchaguzi wasafu ya uongozi wa boda boda mkoani hapa kutokana na uongozi uliopo madarakani kushindwa kuwatatulia matatizo…

21 April 2024, 2:09 pm

Mbunge Nsimbo akabidhi msaada kwa waathirika wa mafuriko

“Wananchi wanatakiwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya mvua ambazo tayari zimeonyesha kuwa na athari ya mafuriko katika jamii” Na Ben Gadau -Katavi Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Anna Lupembe amekabidhi msaada kwa wahanga wa mafuriko katika vijiji vya kaburonge A…

19 April 2024, 11:41 pm

Rais wa chemba ya wafanyabiashara nchini azitaka taasisi binafsi kuungana

Rais wa chemba  ya wafanyabiashara Tanzania [TCCIA] Vicent Bruno Minja akizungumza na wafanyabiashara mkoani Katavi.Picha na Veronika Mabwile “changamoto zinashindwa kutatuliwa kutokana na wafanyabiashara wenyewe kutokuwa na umoja“ Na Veronika Mabwile -Katavi Rais wa chemba  ya wafanyabiashara Tanzania [TCCIA] Vicent…

12 April 2024, 8:21 pm

RC Katavi: Serikali inatambua umuhimu wa Vvongozi wa dini

 Picha na Mtandao “Amewapongeza viongozi wa Baraza la BAKWATA kwa kuonyesha Ushirikiano katika juhudi zinazofanywa na Serikali  na kuainisha kuwa Serikali inatambua Mchango wa Dini katika kufanya Shughuli za Maendeleo “ Na Samwel Mbugi-Katavi Viongozi wa Baraza kuu la Waislamu…