Micheweni FM
Baadhi ya wanawake wanavyoshindwa kujieleza katika vyombo vya habari
2 December 2024, 4:05 pm
Kumekuwa na mtazamo hasi juu ya mwanamke kushindwa kufanya maamuzi bila ya uwepo wa mwanaume jambo ambalo ni kinyume kabisa ,wanawake walio wengi wanashindwa kujieleza kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo aibu ,kejeli idhini kutoka kwa mwenza wake.
Na Kuruthumi Ramadhani
Tatizo la baadhi ya wanawake kushindwa kujielezea katika vyombo vya habari