Loliondo FM

Recent posts

13 December 2023, 12:03 pm

Ngorongoro yafanya vizuri ukusanyaji mapato robo ya kwanza 2023/2024

Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro imefanya vizuri Katika ukusanyaji wa mapato kwa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2023/24 Julai hadi Septemba ikikusanya kiasi cha Tsh.778,893,937 ikiwa ni asilimia 25 ya makisio ya mwaka huu wa 2023. Na Zacharia…

11 December 2023, 1:29 pm

TADIO yawafikia wanahabari Loliondo

Baada ya mtandao wa redio TADIO ambalo ni jukwaa linalounganisha redio za kijamii Tanzania kufanikisha mafunzo ya wanahabari ya namna yakuchapisha maudhui mtandaoni kwa Kanda ya kaskazini yaliyofanyika kwa siku mbili Desemba 7-8, 2023 sasa wameanza kuwapatia mafunzo wale waliosalia…

10 December 2023, 6:37 pm

Ngorongoro yanogeshwa na uhuru cup bonanza

Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro imeadhimisha miaka 62 ya uhuru wa Tanganyika kwa kuandaa mashindano ya mpira wa miguu yaliyokutanisha timu nne ambazo ni Serengeti boys,Loliondo sports,soitsambu fc na Merau fc. Na Zacharia James Timu Soitsambu fc wametawazwa kuwa mabingwa…

8 December 2023, 4:39 pm

Tatizo la umeme Ngorongoro

Wananchi wilayani Ngorongoro wamekuwa wakiitaja kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara kuwa ni moja ya kero kubwa kwao kwani wamekuwa wakiofia kuungua kwa mali zao zinazotumia umeme na hata kushindwa kufanya kazi zao za kila siku hususani wale…

8 December 2023, 10:50 am

Makala: Ukatili wa kijinsia ni kinyume na Haki za binadamu

Watoto wa kike kutoka jamii za kimaasai wanaeendelea kuwa wahanga wakubwa wa ukatili wa kijinsia Na Saitoti Saringe Kutokana na mila kandamizi katika jamii ikiwemo ukeketaji, kutopewa fursa ya elimu na kumiliki ardhi ni sababu kubwa inayopelekea watoto wengi kutoka…

7 December 2023, 2:04 pm

Kichanga chawekwa mochwari saa 3 kikiwa hai Ngorongoro

Mtoto mchanga akaa mochwari akiwa hai kwa saa 3 baada ya kudaiwa na wauguzi kuwa amefariki. Na Zacharia James Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Mhe. Mwalim Raymond Mwangwala ameagiza kuchukuliwa kwa hatua za kinidhamu kwa baadhi ya wauguzi wa hospitali…

30 November 2021, 11:14 pm

MABARAZA YA HAKI YAGAWIWA KONDOO NGORONGORO

Na Edward .S.Shao. Baraza la wanawake wakifugaji Pastoral Women Council-PWC-kupitia shirika la Norway -NODAK- lagawa kondoo 168 kwa mabaraza saba ya haki na uongozi wa wanawake wilayani Ngorongoro. Akizungumza katika hafla hiyo Novemba 29, 2021 ya ugawaji wa kondoo hao…

8 November 2021, 2:37 pm

Ngorongoro yakubali Chanjo ya Uviko-19.

Na EDWARD SHAO Utoaji wa chanjo ya Uviko-19 wafikia asilimia 31 wilayani Ngorongoro tangu chanjo hiyo izinduliwe rasmi Agosti 3 2021 na mkuu wa wilaya Mh. Mwl Raymond Stephen Mwangwala. Akizungumza katika kikao cha kujenga uelewa juu ya Ugonjwa huo…

8 November 2021, 1:02 pm

Baraza la madiwani lapendekeza chuo kuitwa jina la OLenasha .

Na Edward Shao. Baraza la Madiwani la halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro lapendekeza chuo cha ualimu kinachojengwa katika kata ya oloipiri Kijiji Cha Orkuyaine tarafa ya loliondo wilayani Ngorongoro kiitwe jina la aliyekuwa naibu waziri uwekezaji ofisini ya waziri mkuu…