Podcasts

16 August 2023, 12:10 pm

Kipindi: Mwangaza wa habari

Na Ivan Mapunda. Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa kaskazini Unguja amewataka madereva kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepukana na ajali.

15 August 2023, 3:42 pm

Baba atelekeza familia na kwenda kuanzisha familia nyingine

Mama huyo anadai kuishi maisha magumu kwani  anatumia muda mwingi kutafuta kipato cha kumuwezesha yeye pamoja na watoto wake kupata mahitaji muhimu ikiwemo chakula. Na Leonard Mwacha. Katika hali ya kushangaza baba mmoja mkazi wa Jijini Dodoma ameitelekeza familia yake…

14 August 2023, 12:41 pm

Rushwa ya ngono inavyowaathiri vijana katika utafutaji

Nini kifanyike ili kuwanusuru vijana pindi wanapokutana na changamoto ya kuombwa rushwa ya ngono. Na Leonard Mwacha. Vijana wamekuwa wakipitia changamoto nyingi pindi wanapotafuta maisha ikiwemo kuombwa rushwa ya ngono ili waweze kufanikiwa kimaisha. Hali hii imekuwa ikiwakatisha tamaa vijana…

11 August 2023, 19:12 pm

Kipindi: Umiliki wa Ardhi kwa mwanamke – Gladness Munuo

Wanawake wamekuwa nyuma katika suala la umiliki wa ardhi kitendo ambacho kinaonesha ni kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya umiliki huo, hasa linapokuja suala la mali ya familia Na Musa Mtepa Mratibu usuluhishi na upatanisho kutoka kituo cha msaada…

9 August 2023, 4:19 pm

Nini kifanyike kesi za ukatili kingono zisimalizwe kifamilia?

Unyanyasaji unaweza kutokea katika mazingira mbalimbali ya kijamii kama vile sehemu za kazi, nyumbani, shuleni au kwenye Taasisi za kidini. Na Mariam Matundu. Ni aina ya unyanyasaji unaohusisha matumizi ya matamshi ya ngono ya wazi au ya siri, ikiwa ni pamoja na ahadi zisizohitajika…