Podcasts

7 August 2023, 2:20 pm

Jinsi jamii inavyopambana na ukatili wa kingono dhidi ya watoto

Familia zinaaswa kuacha kumaliza kesi hizi kifamilia kwani inakuwa haisadii mtu anae fanya vitendo hivi anaweza kufanya kwa mtu mwingine. Na Leonard Mwacha. Jamii inashauriwa kuacha kufumbia macho ukatili dhidi ya watoto hasa ukatili wa kingono kwani umekuwa ukiwaathiri zaidi…

5 August 2023, 14:58 pm

Makala: Matumizi bora ya gesi ya kupikia majumbani

Na Musa Mtepa Makala haya yanasimulia matumizi bora ya nishati ya kupikia majumbani maarufu kama gesi ya kupikia,  ambapo mkoani Mtwara tayari wananchi wanatumia mitungi ya kampuni mbalimbali za gesi kwa ajili ya kupikia pia tayari kuna mtandao wa gesi…

3 August 2023, 4:43 pm

Ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii

Utandawazi unatajwa kuwa na ukombozi wa kupunguza vitendo hivi vya ukeketaji na ndoa za utotoni kwenye jamii. Na Mariam Matundu. Mariam matundu amezungumza na Bwana Stanley Nyambuya yeye alikuwa anafanya shughuli ya kukeketa mabinti hapo zamani lakini kwa sasa ameacha.

31 July 2023, 4:53 pm

Historia ya bwawa la Hombolo

Inasemekana kuwa bwawa hilo la Hombolo lina aina mbalimbali ya samaki wakiwemo dagaa, uduvi, ningu, kambale na perege. Na Yussuph Hassan. Bado tunaenedelea kuangazia historia ya bwawa la Hombolo bwawa ambalo linapatikana katika eneo la Hombolo lililopo Jijini Dodoma .…