Radio Tadio

Wazee

2 July 2026, 11:01

Kasulu yatoa milioni 261 kwa vikundi 24

Utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani na Halmashauri ni moja ya mikakati ya Serikali ya kuwawezesha wananchi kiuchumi, hususan wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kusaidia kuendeleza na kupanua shughuli za uzalishaji na biashara, jambo…

29 June 2026, 14:35

RAS Kigoma ataka wanufaika wa mikopo kuitumia kwa malengo

Serikali imeendelea kutekeleza mpango wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kupitia Halmashauri mbalimbali nchini kwa lengo la kuwawezesha wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kujikwamua kiuchumi. Na Emmanuel Kamangu Jumla ya zaidi ya shilingi milioni 600 zimetolewa na Halmashauri…

13 June 2026, 13:16

Timu ya kutathmini mikopo yakagua miradi ya vikundi Uvinza

Wakati vikundi mbalimbali vilivyokidhi vigezo na kupokea mikopo vikiwa vinaendelea utekelezaji wa miradi yao timu ya kutathimini mikopo imewatembelea ili kujionea shughuli wanazofanya Na Mwandishi wetu Timu ya tathmini ya vikundi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imetembelea vikundi…

10 June 2026, 14:04

Plan yaacha alama Kilombero

Shirika la Plan International limehitimisha shughuli zake za ufadhili wa watoto katika Wilaya ya Kilombero baada ya zaidi ya miaka 30, likiacha mafanikio makubwa katika elimu, afya, ustawi wa watoto na uwezeshaji wa jamii. Na: Isidory Mtunda Baada ya zaidi…

9 June 2026, 11:22

Vikundi 30 vyanufaika na mikopo ya milioni 300 Kigoma

Mikopo hiyo inayotolewa na Benki ya CRDB ambayo inatokana na mapato ya ndani ya Halmashauri ni moja ya njia muhimu za kuwawezesha wananchi wenye kipato cha kujikwamua kiuchumi na mikopo hii imeanzishwa kwa lengo la kuwapa wanufaika mtaji wa kuanzisha…

2 June 2026, 11:23

Ngajilo awawezesha wajasiriamali 400 Iringa

Ufunguzi wa mafunzo pichani Mafunzo hayo, ambayo ni msimu wa pili kufanyika, yamelenga kuwapa wajasiriamali wadogo na wa kati maarifa ya kisasa kuhusu usimamizi wa biashara, upatikanaji wa mitaji, masoko na fursa mbalimbali za kiuchumi ili kuongeza tija na mchango…

20 May 2026, 15:00

Viongozi wa kamati za mikopo ya 10% wafanya tathmini Uvinza

Kikao cha kamati za mikopo ya asilimia 10 husaidia kuhakikisha uwazi na usahihi katika utoaji wa mikopo kwani viongozi hupitia taarifa mbalimbali za vikundi na waombaji wa mikopo ili kuhakikisha fedha zinawafikia walengwa sahihi wenye sifa zinazotakiwa. Na Mwandishi wetu…

15 May 2026, 15:27

Mil. 214 zawanufaisha walemavu, wanawake, vijana Kasulu

Mikopo ni mojawapo ya njia muhimu zinazosaidia maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika jamii kwa makundi tofauti ya watu ili kuwawezesha kujiletea maendeleo na miongoni mwa makundi yanayonufaika sana na mikopo ni wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Na Hagai…

4 May 2026, 17:26

Uroa gizani kwa wizi wa transfoma, serikali yachukua hatua

Meneja wa ZECO, Haji Haji, amewataka wananchi kuacha mara moja kuharibu miundombinu ya umeme visiwani Zanzibar akibainisha kuwa vitendo hivyo vinaleta hasara kubwa kwa serikali. Na Mary Julius. Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar ZECO Haji Haji amewataka wananchi kuacha…