Radio Tadio

Wazee

April 30, 2026, 6:11 pm

Sekta binafsi Geita wafungua fursa za ajira

Serikali inathamini nafasi ya sekta binafsi ambayo ni asilimia 70 kwenye pato la taifa na kwamba itaendelea kutekeleza malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kupiga hatua zaidi. Na Clement Shawishi- GEITA. Serikali imesema kuwa uwekezaji unaofanywa na…

29 April 2026, 12:11

Vikundi 13 vya wenye ulemavu vyapatiwa mikopo Kakonko

Vikundi 13 vya walemavu vimepatiwa mkopo kati ya vikundi 23 ambavyo vimepatiwa mkopo wa halmashauri ya wilaya ya Kakonko katika robo ya pili ya mwaka wa fedha wa 2025/2026 Mkopo huo umetolewa ikiwa ni mkakati wa serikali wa kuviwezesha vikundi…

22 April 2026, 14:57

Mikopo umiza ilivyo mwiba kwa wananchi Kasulu

Kujiepusha na mikopo ya kausha damu kunasaidia kulinda uhuru wa kifedha, afya ya akili, na heshima ya mtu binafsi. Na Michael Mpunije Wenyeviti wa Serikali za mitaa katika Kata ya Nyansha halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kutoa elimu…

22 April 2026, 12:19

Jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Uvinza lazinduliwa

Wanawake wa wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika maeneo yao ikiwemo mikopo ya kuwawezesha kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi ili kuwasaidia kuepukana na uchumi tegemezi. Na Mwandishi wetu Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imezindua rasmi jukwaa…

8 April 2026, 09:40

Mbunge Villa akabidhi meza 90 kwa wajasiriamali

Meza hizo zimekabidhiwa ikiwa ni hatua ya kuwafanya wajasiriamali wafanye kazi zao katika mazingira rafiki. Na Fredrick Siwale Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini Mh. Dickson Lutevele Villa ametimiza ahadi yake kwa kukabidhi meza 90 kwa wajasiriamali wa Soko la…

3 April 2026, 10:28

DC Kigoma ataka vikundi kurejesha mikopo kwa wakati

Benki ya CRDB Kigoma imetoa elimu ya fedha kwa vikundi mbalimbali vilivyopo katika Manispaa ya Kigoma Ujiji lengo likiwa ni kuviwezesha vikundi hivyo kufahamu namna ya kutumia mikopo wanayopewa ili iweze kuwanufaisha zaidi. Na Tryphone Odace Mkuu wa Wilaya Kigoma…

25 March 2026, 16:32

Changamoto ya umeme Zanzibar kubaki historia

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Juma Malik Akil, amesema Zanzibar itapata umeme wa uhakika ndani ya miezi michache ijayo kutokana na miradi mipya ya nishati. Amesema serikali inawekeza katika umeme wa jua na upepo ili kuongeza uzalishaji hadi…

3 March 2026, 11:14

Wananchi waaswa kujiepusha na mikopo umiza

Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na ongezeko la taasisi na programu za simu zinazotoa mikopo ya haraka inayojulikana kama mikopo kausha damu na mikopo hii huvutia watu wengi kwa sababu ya urahisi wa kuipata bila dhamana kubwa au taratibu ndefu…

19 February 2026, 18:35

Uongozi wa Mguso wawafungua MTAKUWWA Mkata

“Mafunzo haya yameniwezesha kukumbuka majukumu yangu katika kamati hii ya MTAKUWWA hivyo nilichokipokea ni kujitathimini na pia kuwa na mshikamano kwa ajili ya kwenda kupinga ukatili katika maeneo yetu” Wajumbe wa MTAKUWWA Mkata Na Cosmas Clement Wajumbe wa kamati ya…