
Vijana

25 October 2023, 1:25 pm
Madereva bodaboda wanaoendekeza tamaa Bahi waonywa
Bodaboda wamekuwa na mazoea ya kukodiwa usiku wa manane na watu ambao hawawafahamu matokeo yake wanauawa na kuporwa pikipiki. Na. Bernad Magawa. Kamanda wa Polisi wilaya ya Bahi SSP Idd Ibrahim amekemea vikali madereva wa bodaboda wanaoendekeza tamaa ya fedha…

28 September 2023, 6:26 am
Makundi ya kihalifu na utelekezaji wa watoto
Utelekezaji wa watoto katika familia inatajwa kuwa ni miongoni mwa sababu zinazopelekea ukosefu wa elimu kwa vijana na kuongezeka kwa makundi ya kihalifu Katavi. Na Ben Gadau – MpandaUtelekezaji wa watoto katika familia inatajwa kuwa ni miongoni mwa sababu zinazopelekea…

26 September 2023, 16:20
Vibaka watoto tishio Ndobo Kyela
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanafunzi wilayani Kyela kujiingiza katika vitendo viovu na kupelekea kushindwa kuendelea na masomo kutokana na sababu mbalimbali na wengine kujiingiza katika wimbi la uhalifu. Na Samwel Mpogole.. Imeibuka tabia kwa baadhi ya vijana katika…

12 September 2023, 3:02 pm
Vijana watakiwa kuacha tabia ya kutazama picha za utupu
Kwa mujibu wa mwanasaikolojia huyo anasema kuwa zipo athari mbalimbali ambazo zinaweza kusababishwa na suala hilo ambapo wanashauri jamii hususani vijana kuachana na tabia hiyo. Na Thadei Tesha. Wito umetolewa kwa Wananchi hususani vijana kuepukana na tabia ya kuangalia picha…

18 August 2023, 10:00
Vijana Kigoma watakiwa kujiepusha na matumizi ya dawa za kulevya
Na, Tryphone Odace Shirika la Maendeleo ya Vijana Mkoani Kigoma, KIVIDEA limewataka vijana kujiepusha na makundi yanayoweza kusababisha kutofikia ndoto zao kwani makundi hayo yanaweza kusababisha kutumbukia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya. Hayo yameelezwa na Afisa Program wa KIVIDEA,…

16 August 2023, 7:00 pm
Vijana Nchini watakiwa kuwa na uthubutu
kwa mujibu wa vijana haoa wanasema kuwa kupitia mjadala huo uliofanyika katika ukumbi wa kambarage uliopo katika jengo la hazina Jijini dodoma umetoa funzo juu ya masuala mbalimbali ikiwemo masula ya uongozi na Demokrasia nchini. Na Thadei Tesha. Vijana nchini…

14 August 2023, 12:41 pm
Rushwa ya ngono inavyowaathiri vijana katika utafutaji
Nini kifanyike ili kuwanusuru vijana pindi wanapokutana na changamoto ya kuombwa rushwa ya ngono. Na Leonard Mwacha. Vijana wamekuwa wakipitia changamoto nyingi pindi wanapotafuta maisha ikiwemo kuombwa rushwa ya ngono ili waweze kufanikiwa kimaisha. Hali hii imekuwa ikiwakatisha tamaa vijana…

9 August 2023, 5:58 pm
Vijana Bahi waomba kandarasi ili wajikwamue kimaisha
Vijana hao wameanzisha karakana ndogo ya kutengeneza samani mbalimbali na kuwasaidia vijana hao kujipatia kipato. Na Bernad Magawa . Baadhi ya vijana waliojiajiri Wilayani Bahi Mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwaunga mkono kwa kuwapa kandarasi katika maeneo waliyobobea ili waweze kujikwamua.…

2 August 2023, 4:27 pm
Kongamano la maendeleo ya vijana kuanza Agosti 3
Kongamano hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili tarehe 3 na 4 ya mwezi Agosti likiwa na lengo la kuwakutanisha vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini . Na Fred Cheti. Serikali kupitia Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira…

30 June 2023, 3:43 pm
UVCCM kuitangaza Kongwa
Amesema jumuiya ya vijana ni tegemeo kwa chama inaweza kuleta vuguvugu la maendeleo hivyo kama vijana wanahakikisha wanakuwa na maadili mshikamano na mahusiano mazuri kwa Chama na Serikali. Na Bernadetha Mwakilabi. Makamu mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha…