Vijana
20 June 2026, 12:07
Jamii Mtwara yaaswa kuepuka matumizi holela ya Dawa
Wataalamu wa afya Mtwara wameitaka jamii kuacha kutumia dawa bila vipimo na ushauri wa daktari, wakionya kuwa matumizi yasiyo sahihi yanaweza kusababisha madhara na usugu wa vimelea dhidi ya dawa. Na Musa Mtepa Jamii imetakiwa kuachana na tabia ya kutumia…
17 June 2026, 7:08 pm
Mbunge Bulaya afadhili vifaa vya michezo Bitaraguru FC
Wakati mwingine wachezaji hao walikuwa wakicheza vifua wazi kutokana ana uhaba wa jezi hivyo msaada huo wa jezi utasaidia kwa kiasi kikubwa vijana hao kuongeza morali. Na Adelinus Banenwa Katika kuunga mkono maendeleo ya michezo kwa vijana, Mbunge wa Jimbo…
13 May 2026, 12:27 pm
Wakazi Londoni Wafunguka Maumivu ya Umeme na Miundombinu
Suala la umeme jazilizi na ukarabati wa miundombinu ya barabara. Na Stephano Simbeye LONDONI: WAKAZI wa kitongoji Cha Londoni kata ya Hasanga, wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamemkumbusha diwani wa kata ya Hasanga, Mh.Malick Nzowa suala la umeme jazilizi na…
5 May 2026, 7:14 pm
Wawekezaji watakiwa kuchangamkia fursa Manyara
Wawekezaji mkoani Manyara wametakiwa kuchangamkia fursa ya kuwekeza biashara mbalimbali ili kujiinua kiuchumi baada ya Geti la Mamire kufunguliwa kwa ajili ya kupitisha magari ya watalii. Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ameyasema hayo leo wakati…
1 May 2026, 7:39 pm
MATI Super Brand yapongezwa kuongeza ajira kwa vijana
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga, ameipongeza Kampuni ya MATI Super Brand ya mjini Babati mkoani Manyara kwa kuwaajiri vijana wengi na kupunguza changamoto ya vijana kuwa tegemezi . Na Mzidalfa Zaid Sendiga amesema hayo leo katika maadhimisho ya…
26 February 2026, 3:47 pm
Wakazi walia miundombinu duni msimu wa mvua
Licha ya mvua kuleta neema kwa wakulima , hali imekuwa tofauti kwa wakazi wa Nyatorotoro B, kata ya Nyankumbu wilayani na mkoani Geita kwani wanalazimika kulala wakiwa wamesimama. Na: Ester Mabula Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini, Wakazi wa…
8 February 2026, 5:23 pm
Msalala yatoa bilioni moja kwa vikundi vya wajasiriamali
Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Frank Nkinda amewaasa wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri kuitumia vizuri kwa kuinua uchumi wao na zisiwe chanzo cha malumbano na ugomvi baina yao. Nkinda ameyasema hayo wakati akikabidhi hundi ya Shilingi…
23 December 2025, 11:48
SHIMKIATA yakuza mila, tamaduni za asili kwa jamii Kigoma
Asili na jadi ni msingi wa kukuza, kuhifadhi na kuendeleza utamaduni na mila kwa kuzithamini na kuzifundisha kwa vizazi vipya na kuhakikisha jamki inabaki na utambulisho imara huku ikikua na kubadilika katika njia chanya. Na Tryphone Odace Wito umetolewa kwa…
5 October 2025, 6:40 pm
Kuna umuhimu gani kwa mwanamke kushiriki mikutano ya kampeni?
Baadhi ya wachangiaji wa mada.Picha na Anna Mhina “Tunashindwa kuhudhuria kwasababu hawatekelezi ahadi zao” Na Anna Mhina na Roda Elias Baadhi ya wanawake wa mtaa wa Mpadeko uliopo kata ya Makanyio wilayani Mpanda mkoani Katavi wameiomba mamlaka husika kutoa elimu…
3 September 2025, 7:09 pm
Wafanyabiashara watakiwa kuwekeza Manyara
Wafanyabiashara mkoani Manyara wametakiwa kuwekeza katika mkoa huo kwa kujenga hotel za kisasa, migahawa na nyumba za kulala wageni kutokana na kasi ya ukuaji wa mkoa. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga…