Utamaduni
3 September 2026, 16:56
Nani anaathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi?
Makubaliano ya mjini Paris mwaka 2015 yaliweka kipaumbele maalum cha kuwawezesha na kutambua kwamba wanawake huathiriwa kwa kiasi kikubwa zaidi katika jamii kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Na Mariam KasawaMiaka kumi baada ya Mkataba wa Paris, utoaji wa gesi chafuzi…
31 August 2026, 17:51
Ihumwa wasisitizwa kuzingatia usafi kuepuka magonjwa
Baadhi ya wananchi wamekiri uwepo wa maji tiririka ambayo kuhatarisha maisha ya watoto huku ikiwa ni wajibu wa Kila mtu kulinda usalama wa mazingira sambamba na Serikali kuweka miundombinu mizuri ya maji taka. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mitaa ya…
12 August 2026, 17:56
Utupaji taka holela wakithiri Miyuji
Kwa mujibu wa UN-HABITAT wanasema kwamba taka zinaweza kuleta madhara makubwa kwa afya ya umma, mazingira na hali ya hewa, lakini katika zama hizi sayansi, teknolojia na ubunifu wa hali ya juu vinaweza kuleta suluhu ya gharama nafuu katika changamoto…
11 August 2026, 17:20
Mama lishe Machinga walalamikiwa kumwaga maji taka mitaroni
Changamoto ya miundombinu ya soko la Machinga inachangia tatizo hilo, huku jitihada za kutatua kero hiyo bado zinaendelea. Na Grace Bugodi. Wafanyabiashara wa soko la Machinga jijini Dodoma wamelalamikia tabia ya baadhi ya mama lishe kumwaga maji taka katika mitaro…
11 August 2026, 17:05
Jamii yasisitizwa umuhimu wa kuendelea kulinda mazingira
Jukwaa hilo limekuwa fursa kwa wadau wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi kubadilishana uzoefu kutoka maeneo mbalimbali nchini, kujadili changamoto zinazowakabili wananchi na kuweka mikakati ya pamoja ya kulinda mazingira. Na Anwary Shaban. Mabadiliko ya tabianchi yameendelea kuwa changamoto inayogusa…
10 August 2026, 16:43
Wananchi mwatano walalamikia kero ya taka
Wananchi hao wametakiwa kutambua kuwa elimu ni nyenzo muhimu katika kukabiliana na changamoto ya utunzaji wa mazingira, huku wakisisitizwa kujenga utamaduni wa kutupa taka katika maeneo maalumu na kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama. Na Ramla Kimu. Wananchi wa Mtaa…
8 August 2026, 6:46 pm
Tantrade yawahimiza usajili wa bidhaa nchini
Wakulima, wazalishaji na wafanyabiashara nchini wametakiwa kujisajili na kupata nembo ya TANTRADE ili kuongeza utambulisho wa bidhaa zao na kuzifanya zitambulike zaidi katika masoko ya kimataifa. Na Gasper Sambweti Afisa mwandamizi wa biashara wa TANTRADE, Bw. Thomas Peter Mallya amesema…
3 August 2026, 17:26
Asasi za kiraia Mpwapwa zachukizwa kasi uharibifu wa mazingira
“Fikira mpya, uendelevu wa mashirika yasiyo ya kiserikali, ubunifu, ubia na upatikanaji wa rasilimali fedha kupitia vyanzo vya ndani. Na Stephen Noel. Serikali ya Wilaya ya Mpwapwa imeahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa mashirika yasiyo ya kiserikali ili kuchochea utekelezaji wa…
20 July 2026, 18:00
Mabadiliko ya tabianchi yanaathirije upatikanaji wa chakula?
Wanasayansi wanabashiri kwamba ongezeko la joto na mabadiliko ya mienendo ya mvua huenda yakaathiri uzalishaji hasa katika maeneo yenye matatizo. Na Mariam Matundu.Uhakika wa upatikanaji chakula huathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi kwani ukame, mabadiliko ya vizio vya joto,…
20 July 2026, 17:34
Wananchi Ilangali B walia uharibifu wa mto Kizogo
Licha ya wadau wa mazingira kufika eneo la uchimbaji kufanya tathmini na kutoa maelekezo lakini kumekuwa hakuna utekelezaji wowote. Na Anwary Shaban. Wakazi wa kitongoji cha Ilangali “B” Kata ya Manda Wilaya ya Chamwino wameendelea kulia na uharibifu wa chanzo…