Radio Tadio

Utamaduni

1 April 2022, 2:31 pm

Wakazi wa mtaa wa Itega walalamikia kuzagaa kwa takataka

Na; Neema Shirima. Wananchi wa mtaa wa Itega kata ya Nkuhungu jijini Dodoma wamelalamikia suala la kuzagaa kwa takataka katika maeneo hayo kutokana na kutokuwepo gari ya kuzoa takataka hizo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema magari yanayojishughulisha…

22 March 2022, 2:11 pm

Wananchi watakiwa kuitumia[…

Na; Seleman Kodima Wito umetolewa kwa wananchi kutumia mwezi huu wa mfungo wa kwaresma kutenda matendo ya huruma  kwa jamii ikiwemo kuwajali na kuwapa mahitaji watu wasiojiweza . Hayo yamesemwa na Vijana wa Kanisa la waadventista wa sabato kutoka kanisa…

16 February 2022, 3:25 pm

RALI yaanzisha kampeni mpya ya EXCEL

Na; Benard Filbert. Shirika la RALI nchini limeanzisha kampeni mpya ya EXCEL lengo ikiwa kuitaka jamii kuchukua hatua madhubuti za kupambana na mabadiliko ya tabia za nchi kupitia utunzaji wa mazingira. Hayo yameelezwa na afisa mradi wa taasisi hiyo bwana…

9 February 2022, 3:22 pm

Wananchi wametakiwa kujitokeza kuchukua miche ya miti

Na ;Thadei Tesha. Ofisi ya maliasili jijini Dodoma kwa kushirikiana na wakala wa misitu TFS wametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kuchukua miche ya miti kwa ajili ya kupanda kipindi hiki cha mvua. Akizungumza na taswira ya habari afisa…