Radio Tadio

Utamaduni

31 May 2021, 12:54 pm

Mrundikano wa taka wahatarisha maisha ya wakazi wa Ilazo

Na; Shani Nicolous. Wakazi wa mtaa wa Ilazo kati kata ya Ipagala jijini Dodoma wamelalamikia ucheleweshwaji wa uondoshaji wa taka takika mazingira yao hali inayosababisha kuzagaa kwa uchafu mtaani. Wakizungumza na Dodoma fm wakazi hao wamesema kuwa kuna wakati taka…

29 May 2021, 3:29 pm

Halmashauri zaagizwa kupanda miti Milioni moja na laki tano

Na; Mindi Joseph. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Seleman Jafo ameziagiza Halmshauri zote nchini kupanda miti isiyopungua Milioni moja na laki tano kila mwaka ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Waziri Jafo ametoa maagizo…

26 May 2021, 12:45 pm

Maji safi na salama changamoto kata ya mkonze

Na; Mindi Joseph Wakazi wa  mtaa wa Zinje Kata ya Mkonze jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwapelekea maji safi na salama ili kuokoa afya zao kutokana na kutumia maji wanayochimba kwenye korongo ambayo si safi na salama. Taswira ya habari imezungumza…

24 May 2021, 1:54 pm

Uharibifu wa mazingira ni chanzo cha mabadiliko ya tabia Nchi

Na;Mindi Joseph . Uharibifu wa mazingira nchini umetajwa kuchangia kuongezeka kwa mabadiliko ya tabia nchi hali ambayo imepelekea   kiwango cha maji kuzidi kuongezeka Nchini Tanzania. Akizungumza jijini Dodoma leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Selemani Said Jafo…