Radio Tadio

Siasa

13 Julai 2023, 12:00 um

Uchaguzi mdogo wa madiwani Tanzania bara kufanyika leo

Upigaji kura unafanyika katika vituo vilivyotumika wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 na mpiga kura aliyepoteza kadi au kadi yake kuharibika ataruhusiwa kutumia kitambulisho mbadala iwapo tu atakuwa ameandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura . Na Mindi…

13 Julai 2023, 11:49 mu

Baiskeli 58 zatolewa kwa vikundi vya wanawake UWT Tabora

Jumla ya baiskeli 58 zimetolewa na kugawiwa; baiskeli mbili kila kata kwa vikundi vya wanawake UWT pamoja na vijana mkoani Tabora  ili kuwasaidia kujikwamua kiuchumi. Na Zaituni Juma Mbunge wa viti maalum mkoani Tabora Munde Tambwe amesema baiskeli hizo zilizotolewa…

7 Julai 2023, 7:33 um

ACT wazalendo walalamikia bendera zao kushushwa

Katibu wa ACT- Wazalendo amekuja juu na kutoa shutuma baada ya bendera kadhaa za chama chao kushushwa katika mitaa na barabara za mjini Geita, jambo lililopelekea Katibu wa chama hicho kuzungumzia hilo. Na Said Sindo- Geita Bendera za chama cha…

21 Juni 2023, 3:16 um

Chongolo: Watoto wasimamiwe waende shule

Chongolo amesema wakati watoto wanapokuwa mashuleni sio wakati wa viongozi kukaa ofisini badala yake wajipange na kuratibu kuhakikisha watoto wote wanajiunga na masomo na si vinginevyo. Na Bernadetha Mwakilabi. Katibu mkuu wa Chama Chama Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo amewataka…

26 Mei 2023, 10:26 mu

CHADEMA na Katiba Mpya kabla ya uchaguzi

KATAVI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kitaendelea kusimamia misingi ya chama hicho kwa kutetea haki, uhuru, na demokrasia kwa wanachama wa chama hicho na wananchi wa taifa kwa ujumla. Akiwahutubia wanachama wa chama hicho katika uzinduzi wa…