Sheria
1 October 2023, 6:35 pm
TRA yawataka wananchi kuwa na utaratibu wa kutoa na kudai risiti
TRA mkoa wa Katavi imewataka wananchi mkoani hapa ikiwemo wafanyabiashara na wanunuzi kuwa na utaratibu wa kutoa na kudai risiti KATAVI. Mamlaka ya mapato mkoa wa Katavi imewataka wananchi mkoani hapa ikiwemo wafanyabiashara na wanunuzi kuwa na utaratibu wa kutoa…
28 September 2023, 7:17 am
Mpanda na kampeni dhidi ya wazazi wanaoshindwa kupeleka watoto shule
Mansipaa ya Mapanda yaanzisha kampeni ya kufuatilia wazazi na walezi wanashindwa kuwapeleka Watoto shule Na John Benjamin – MpandaHalmashauri ya mansipaa ya Mapanda mkoani Katavi imeanzisha kampeni ya kufuatilia na kuhakikisha inawachukulia hatua wazazi na walezi ambao wanashindwa kuwapeleka Watoto…
15 September 2023, 12:36
Kushika simu ya mpenzi wako ni kosa kisheria
Kupekua simu ya mwenza au mpenzi imetajwa kuwa sababu ya mahusiano mengi kuvunjika bila kujua kama ni kosa kwa mujibu wa sheria. Na John Selijo – Mufindi l FM Wanaondoa na wapenzi wameshauriwa kuacha kupekua na kukagua simu za wenza…
14 September 2023, 7:31 pm
Bila kuwepo mahakamani, ahukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la kubaka
Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya Bunda Betron Sokanya amesema kuwa upande wa mashtaka umethibitisha kosa na mahakama imethibitisha pasi na kuacha shaka lolote kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu…
7 September 2023, 10:21 pm
Akamatwa akituhumiwa kunajisi kanisa, lafungwa siku 30
Tukio la kunajisiwa Kanisa ni la pili kutokea mkoani Geita ikiwa ni miezi sita imepita baada ya kijana mmoja mkazi wa Geita kudaiwa kuvamia Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo la Geita na kufanya uharibifu uliosababisha hasara ya Sh. milioni 48.2.…
28 August 2023, 12:30 pm
Wananchi wafunguka kufuatia kauli ya Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Ikumbukwe kuwa, Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 1970 kifungu cha 6, inakataza mtu yeyote ambaye hatumikii Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala jeshi lolote lililowekwa kwa mujibu wa sheria kuvaa vazi rasmi…
25 August 2023, 10:25 am
TAKUKURU Katavi yawafikisha 7 mahakamani kwa wizi wa bilioni 1.2
KATAVI Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Katavi imewafikisha mahakamani watumishi wa serikali 7 kwa makosa matatu ikiwemo wizi wa fedha zaidi ya bilioni 1.2. Kelvin Mwaja ni mwanasheria kutoka taasisi ya kuzuia na kupambana na…
18 August 2023, 6:02 pm
Miaka 15 jela kwa kusababisha kifo akijifanya daktari wa upasuaji
Mahakama kuu kanda yaTabora imetoa hukumu ya kifungo cha miaka kumi na Tano jela kwa Amos Mathias. Na Salma Abdul. Amos Mathias mkazi wa Kijiji cha Nhungulu wilayani Nzega amehukumiwa na Mahakama kuu kanda yaTabora kifungo cha miaka kumi na…
18 August 2023, 4:58 pm
Muuguzi aliyetuhumiwa kubaka abainika hana hatia, aachiwa huru
Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Sikonge imemwachia huru afisa muuguzi aliyekuwa akituhumiwa kwa ubakaji baada ya Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo hivyo kuonekana hana hatia. Na Salma Abdul Muuguzi wa daraja la pili katika hospitali ya wilaya ya Sikonge…
14 August 2023, 11:56 am
Kamera kufungwa Majinja, Kitonga kudhibiti ajali
Na Hafidh Ally Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani Salim Abri Asas ameahidi kufunga kamera katika maeneo ya Majinja na Mlima Kitonga ili kuwabaini madereva ambao watashindwa kufuata sheria za usalama barabarani. Salim Asas ameyasema hayo baada ya kamati ya…