Radio Tadio

Nishati

23 June 2021, 11:34 am

wanawake Dodoma wamshukuru rais Samia.

Na; Benard Filbert Baadhi ya wanawake jijini Dodoma wamemshukuru rais Mh.Samia Suluhu Hassan kufuatia ongezeko la idadi ya wanawake ambao wameteuliwa hivi karibuni katika nafasi ya wakuu wa Wilaya nchini.Wakizungumza na taswira ya habari wanawake hao wamesema kitendo cha rais…

26 May 2021, 1:24 pm

TARURA wahakikisha ukarabati barabara Nzuguni Dodoma

Na; Yussuph Hans Wananchi wa Kata ya Nzunguni Jijini Dodoma wamehakikishiwa ukarabati wa Barabara za Kata hiyo kwa kiwango cha Lami kwa mwaka huu, kufuatia changamoto ya ubovu wa barabara inayowakabili kwa muda mrefu. Hayo yamebainishwa na Meneja wa Wakala…

26 May 2021, 12:50 pm

Auawa na ndugu tuhuma ya wizi

Na; Thadey Tesha Mtu mmoja ameuawa na ndugu zake wa karibu Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wakimtuhumu kujihusisha na vitendo vya wizi. Akizungumza na waandishi wa habari hii leo kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma SACP Gilles Muroto amemtaja marehemu kuwa ni…

25 May 2021, 12:10 pm

Wakazi wa kata ya makulu walalamikia kukosa huduma ya barabara

Na; Ramla Shabani Wananchi wa Mtaa wa Njedengwa Magharibi Kata ya Makulu  jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwajengea daraja pamoja na kuwakarabatia barabara za mtaa huo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa korongo linalopita mtaani hapo limekuwa likisababisha…

25 May 2021, 11:30 am

Udanganyifu watokea maombi ya Ualimu

Na; Yussuph Hans Serikali imesema itachambua kwa kina maombi ya ajira kwa kada ya ualimu ili haki itendeke kufuatia kuibuka changamoto ya udanganyifu kwa baadhi ya Waombaji. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais…