Radio Tadio

Mazingira

11 January 2023, 2:14 pm

Chamwino wajadili mustakabali wa utunzaji Mazingira

Na; Mariam Kasawa. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chamwino jana amekutana na Wadau wa Mazingira, watendaji wa Kata, Viongozi wa Taasisi za Umma na Wahe. Madiwani kwa ajili ya kujadili masuala mbali mbali…

18 December 2022, 12:41 pm

Iringa yapaa Kimataifa uhifadhi wa Mazingira

Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada amesema Tanzania imepaa tena kimataifa baada ya mji wa Iringa kuorodheshwa kuwa ni mojawapo kati ya miji 15 Duniani, ambayo inazingatia usafi na utunzaji wa Mazingira. Ngwada ameyasema hayo wakati akiongea na waandishi…

15 December 2022, 9:56 pm

Majaliwa agawa nyumba kwa watumishi wa serikali Mlele

MLELE Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania amezigawa nyumba Kwa watumishi wa serikali katika halmashauri ya wilaya ya Mlele kutokana na kutokaliwa na watu na kuharibika. Ameyasema hayo wakati akizungumza na watumishi wa umma wa halmashauri hiyo ambapo…

23 November 2022, 6:38 pm

Wafugaji wametakiwa kuondoa mifugo yao katikati ya mji

MPANDA Wafugaji kata ya Kashaulili Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuondoa mifugo yao na kufugia nje ya mji. Katazo hilo limetolewa na Afisa mtendaji wa kata ya Kashaulili Merry Ngomarufu ambapo amesema wafugaji wote wenye mifugo iliyopo katika kata…

4 October 2022, 12:25 pm

Sheria ndogo ndogo zapelekea wananchi kujenga vyoo bora Chemba

Na; Benard Filbert. Uwepo wa Sheria ndogo ndogo  katika Halmashauri ya wilaya ya chemba umetajwa kusaidia wananchi kujenga vyoo bora Katika kutekeleza na kusimamizi  sheria hizo ,wenyeviti wa vijiji wamepewa jukumu la kuhakikisha wananchi katika vijiji vyao wanajenga vyoo bora.…

7 September 2022, 11:03 am

Wananchi Walalamikia TOZO ya Taka

MAJENGO-MPANDA Wananchi wa kata ya Majengo Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamelalamikia tozo ya taka kuwa kubwa na kusema kuwa hata utolewaji wa taka hizo ni wa kusuasua. Akizungumza kwa niaba ya wananchi wengine Sarafina Paul amesema tozo ya…