Radio Tadio

Maji

10 Julai 2023, 10:24 mu

Katavi: Maji safi na salama bado kilio Kamlenga

KATAVI Wananchi wa kitongoji cha Kamlenga kijiji cha Sibwesa halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi wameiomba serikali iwasaidie upatikanaji wa maji safi na salama ili kuepukana na magonjwa ya tumbo. Wakizungumza na Mpanda Radio fm wananchi hao wamesema kuwa wanatembea umbali…

3 Julai 2023, 12:29 um

TANESCO wakata umeme chanzo cha maji Sengerema

Kutokana na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Sengerema SEUWASA kukabiliwa na malimbikizo ya deni la umeme kiasi cha shilingi milioni mia tatu, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekata huduma ya umeme katika chanzo cha maji kilichopo Nyamazugo.…

28 Juni 2023, 17:41

Milioni 560 kutatua kero ya maji Bahi

Upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama umeendelea kuwa changamoto katika baadhi ya vijiji mkoani Dodoma. Na Mindi Joseph. Milioni 560 zinatarajiwa kutumika katika kuchimba kisima cha maji ndani ya kijiji cha Uhelela wilayani Bahi mkoani Dodoma ambacho kitahudumia…

9 Juni 2023, 12:44

Huduma ya maji nchini sasa 88% mijini, 77% vijijini

Aidha ametoa wito kwa jamii kuzingitia sheria na kulinda miundombinu ya maji ili kuunga mkono jitihada za upatikanaji wa huduma ya maji nchini. Na Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa hali ya upatikanaji wa huduma ya maji nchini imeendelea kuimarika na kufikia…