Radio Tadio

Maji

28 Julai 2023, 3:50 um

Ifahamu historia ya bwawa la Hombolo

Wananchi katika vijiji vingi vya jirani walikimbia makazi yao na kuhamia vijiji vingine wakati wa ujenzi wa bwawa hilo, ikiwa ni pamoja na Zepisa. Na Yussuph Hassan. Bwawa la Hombolo lilijengwa ili kuunda  bwawa lililopo katika kijiji cha Hombolo Bwawani. Bwawa hilo lilijengwa na serikali ya kikoloni…

21 Julai 2023, 09:16

Aweso amwagiza DC Kibondo kumchukulia hatua mkandarasi

Mkandarasi anayetekeleza mradi wa uchimbaji wa visima vya maji Wilayani Kibondo ametakiwa kukamilisha mradi huo kwa haraka baada ya kutelekeza mradi huo kwa kipindi kirefu na kusababisha wananchi kukosa hudum ya maji. Na, Kadislaus Ezekiel Waziri wa maji Jumaa Aweso…

13 Julai 2023, 11:58

Vijiji 8 Kigoma vyakabiliwa na ukosefu wa maji

Ukosefu wa maji katika baadhi ya vijiji vya halmashauri ya wilaya na mkoani Kigoma umetajwa kuendelea kuwatesa wananchi kwani hulazimika kutumia maji ya visima na mito yasiyokuwa safi na salama. Na, Kadislaus Ezekiel Wananchi wa vijiji vinane vya halmashauri ya…

10 Julai 2023, 10:24 mu

Katavi: Maji safi na salama bado kilio Kamlenga

KATAVI Wananchi wa kitongoji cha Kamlenga kijiji cha Sibwesa halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi wameiomba serikali iwasaidie upatikanaji wa maji safi na salama ili kuepukana na magonjwa ya tumbo. Wakizungumza na Mpanda Radio fm wananchi hao wamesema kuwa wanatembea umbali…

3 Julai 2023, 12:29 um

TANESCO wakata umeme chanzo cha maji Sengerema

Kutokana na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Sengerema SEUWASA kukabiliwa na malimbikizo ya deni la umeme kiasi cha shilingi milioni mia tatu, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekata huduma ya umeme katika chanzo cha maji kilichopo Nyamazugo.…

28 Juni 2023, 5:41 um

Milioni 560 kutatua kero ya maji Bahi

Upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama umeendelea kuwa changamoto katika baadhi ya vijiji mkoani Dodoma. Na Mindi Joseph. Milioni 560 zinatarajiwa kutumika katika kuchimba kisima cha maji ndani ya kijiji cha Uhelela wilayani Bahi mkoani Dodoma ambacho kitahudumia…