Radio Tadio

Maji

26 Septemba 2023, 3:25 um

WWF, wadau wapima maji mto Tigite-Tarime

Shirika la WWF kwa kushirikiana na bonde la Ziwa Victoria wamefanya zoezi la kupima maji ya mto Tigite uliopo kijiji cha Matongo kata ya Matongo wilaya ya Tarime ili kubaini afya ya mto huo katika vigezo vya asili na vya…

21 Septemba 2023, 18:46

TAEEs yatoa mafunzo kwa bodi za maji 15 Mufindi

Na Kelvin Mickdady -MufindiFM Bodi za kusimamia vyanzo na usafi wa maji wilayani Mufindi zimetakiwa kuboresha mfumo wa ufanyaji kazi ili kuongeza mapato ya serikali kupitia bodi hizo.Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa halmshauri ya wilaya ya Mufindi Mhe. Festo Mgina…

19 Septemba 2023, 4:31 um

Mradi wa maji wa Nzugumi wafikia asilimia 87

Mkoa wa Dodoma unazalisha nusu ya mahitaji ya maji ambapo mahitaji ya maji ni lita Milion 133 kwa siku na yanayozalishwa ni lita milion 67.8 hivyo kuwa na upungufu wa lita Milioni 66.7 kwa siku. Na Mindi Joseph. Mradi wa…

13 Septemba 2023, 18:43

Umeme waleta mgao wa maji mkoani Mbeya

Maji ni uhai, viumbe wote hai wanategemea maji hata nje ya viumbe hai bado kumekuwa na uhitaji wa maji,nchi ya Tanzania imekuwa ikitegemea maji kuzalisha nishati ya umeme hivyo maji ni kila kitu kwenye shughuli yoyote ya binadamu. Na Hobokela…

12 Septemba 2023, 5:10 um

WWF: Mto Mara ulindwe na utunzwe

Kupitia Maadhimisho ya 12 ya siku ya Mto Mara, Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira WWF limeeleza mikakati linayoifanya kuulinda Mto Mara. Na Edward Lucas Wananchi mkoani Mara wametakiwa kuendelea kutunza rasilimali ya Mto Mara ili kuifanya kuwa endelevu.…

11 Septemba 2023, 5:25 um

BUWSSA: Wizi wa maji Bunda haukubaliki

Tatizo la wizi wa maji ndani ya mji wa Bunda lipo na wanaendelea kukamata watu wote wanaojihusisha na wizi huo pia mamlaka haipendezwi na tabia hizo. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi wilayani Bunda mkoani Mara kuacha tabia ya…