Kilimo
26 April 2023, 3:54 pm
Wakulima wa zabibu waomba elimu ya kuongeza thamani zao hilo
Zabibu huzalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo Mvinyo, Sharbati, jamu pamoja na nyingine nyingi lakini elimu ya kuongeza thamani zao hili bado ni ndogo sana kwa wakulima. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wameiomba serikali kuendelea kutoa elimu…
25 April 2023, 6:07 pm
Tume ya Taifa ya umwagiliaji kukarabati skimu za umwagiliaji
Mwezi wa tano Tume ya taifa ya umwagiliaji inatarajia kutia saini mikataba 8 yenye zaidi ya thamani ya zaidi ya shilingi Bilion 59. Na Mindi Joseph. Tume ya Taifa ya umwagiliaji leo imetia saini mikataba 4 ya ujenzi na ukarabati…
24 April 2023, 4:04 pm
Wananchi watakiwa kutambua kilimo cha umwagiliaji ni cha uhakika
Dodoma ni miongoni mwa mikoa iliyo na hali ya ukame na Hupata wastani hali inayopelekea kulima mazao yanayostahili ukame kama vile uwele, mtama, mahindi, karanga, alizeti, ufuta na zabibu. Na Mindi Joseph. Wananchi Kata ya Babayu wamehimizwa kujikita katika kilimo…
21 April 2023, 10:42 am
Wakulima wa Kilosa wanashauriwa kupanda alizeti
Zao la alizeti ni zao ambalo ni la muda mfupi pia linastahimili mvua kidogo hivyo mkulima atanufaika kwenye mazao ambayo atajikwamua kiuchumi kwa haraka tofauti na mazao mengine. “Mvua zimerudi kwa kipindi kingine ambacho mkulima awali alipanda mazao kama mahindi…
20 April 2023, 10:31 pm
Nje ya ufuta na korosho hakuna halmashauri za Ruangwa, Liwale na Nachingwea
Na Loveness Daniel Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassan Ngoma amewataka wakuu wa wilaya zote zinazounda ushirika wa chama kikuu cha RUNALI kusimamia kwa umakini na kuweka jitihada kubwa katika zao la korosho na ufuta katika halmashauri zao kwani…
20 April 2023, 9:34 am
Dc Maswa Aswege Kaminyoge atoa Maagizo Mazito kuhusu chanjo …
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe Aswege Kaminyoge ametoa Maagizo kwa Wafugaji Wote kupeleka Mifugo yao kwenda kuchanja Sehemu ambazo zimeandaliwa na kijiji husika ili kujikinga na Magonjwa hatari ya Mifugo. Sauti ya DC Maswa Aswege kaminyoge kuhusu …
19 April 2023, 11:29 pm
RUNALI yawanoa wajumbe wa vyama vya msingi
Na Loveness Daniel Chama kikuu cha ushirika RUNALI kinachojumuisha wilaya ya Ruangwa,Nachingwea na Liwale kimetoa mafunzo kwa wajumbe wa vyama vya msingi katika jumla ya amcos 106 leo 19 April 2023 mafunzo hayo yamefanyika ghala la Runali wilaya ya ruangwa.…
19 April 2023, 5:33 pm
“Changamkieni Fulsa za Udhamini wa Mikopo kutoka PASS TRUST ili Mjik…
Wananchi Mkoani Simiyu wameaswa kuchangamkia Fulsa za Udhamini wa Mikopo ya hadi Asilimia 80% katika Miradi inayochochea Ukuaji wa Uchumi wa Kijani katika Sekta ya Kilimo, Mifugo na Mazao ya Misitu. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mh,…
15 April 2023, 10:00 pm
Wakulima wapatiwa mafunzo ya kilimo bora kwa mazao ya Miwa na Mpunga – Ifa…
Wakulima wa halmashauri ya mji wa Ifakara wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, Aprili 14, 2023 wamepatiwa mafunzo juu ya Ulimaji bora wa Miwa, Mpunga na matumizi bora ya zana za kilimo kutoka Kampuni ya EFTA Tanzania Ltd. Na; Isidory Mtunda…
14 April 2023, 4:05 pm
Wakulima Dodoma wasusia zao la muhogo
Zao la muhogo ni muhimu kwa matumizi ya chakula na biashara kwani ni moja kati ya zao linalo stahimili ukame na hustawi katika maeneo yenye Mvua chache. Na Mindi Joseph. Zao la Muhogo Mkoani Dodoma limetajwa kususiwa na Wakulima kufuatia…