Jinsia
6 September 2023, 10:18 am
Wanawake Waaswa Kuwa Wabunifu
MPANDA Baadhi ya wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametoa maoni mseto juu ya namna gani wanawake wanaweza kuchangamkia fursa za uvumbuzi na ubunifu katika kujitafutia kipato na kuondokana na umaskini. Wameyasema hayo wakati wakizungumza na Mpanda Radio Fm kwa…
26 August 2023, 8:53 am
Waandishi wa habari Pemba kupewa mbinu mpya kuandika habari za udhalilishaji
Waandishi wa habari Kisiwani Pemba kupatiwa mafunzo maalum ya uandishi wa habari za udhalilishaji kwa lengo la kuisaidia jamii endapo watapata kadhia hiyo. Na Khadia Ali Waaandishi wa habari kisiwani Pemba wametakiwa kufanya ufuatiliaji wa kuzielezea na kuzichakata kwa kutumia…
24 August 2023, 3:37 pm
Kipindi: NGOs Pemba zafanikiwa kukabiliana na kesi za udhalilishaji
16 August 2023, 1:53 pm
Usawa kijinsia sio kukandamiza kundi fulani
Kikao kazi hicho cha siku moja, kinapokea taarifa za utekelezaji wa sekta na wadau kuhusu usawa wa kijinsia kwa kipindi Januari hadi Juni, 2023. Na WMJJWM, Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt…
9 August 2023, 12:43
Viongozi wa dini wajadili mustakabali wa malezi na matunzo ya mtoto nchini
Vitendo vya ukatili katika jamii vimetajwa kuchochewa na uwepo wa mmomonyoko wa maadili hali ambayo inatajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya wazazi ambao hawatimizi wajibu wao ipasavyo kwa watoto. Na Josephine Kiravu Viongozi mbalimbali wa dini kutoka mikoa…
7 August 2023, 11:14 am
Waratibu Shehia acheni kutoa taarifa kwa mazoea
Vitendo vya udhalilishaji vinarejesha nyuma maendeleo ya wanawake na watoto Na Vuai Juma Waratibu wa shehia pamoja na wasaidizi wa sheria Mkoa wa kaskazini Unguja wametakiwa kuachana na tabia ya kutoa taarifa kwa mazoea hususani katika masuala ya kesi za…
28 July 2023, 8:27 am
Mwanaume wa miaka 30 atuhumiwa kumbaka mtoto wa miaka miwili Sengerema
Matukio ya ubakaji yamezidi kushika kasi wilayani Sengerema, jambo linalopelekea wadau wa kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kujitokeza hadharani na kupinga vikali vitendo hivyo na kuiomba serikali kuwachukulia hatua kali wanaofanya vitendo hivyo. Na. Anna Elias Mtoto wa miaka…
4 July 2023, 2:54 pm
Je mfumo dume unawanyima wanawake nafasi za uongozi ndani ya vyombo vya habari?
Na Groly Kusaga Wanawake wengi wamekuwa wakikutana na changamoto mbalimbali zinazowakwamisha katika kutekeleza majukumu yao na kusahau kuwa wanawake wana uwezo wa kufanya mambo makubwa wanapopewa nafasi ndani ya vyombo vya habari na uongozi kwa ujumla.
11 May 2023, 9:23 am
Makala fupi kuhusu chanzo mimba za umri mdogo
Uoga wa wazazi na walezi kuzungumza na watoto wao waliopo katika rika balehe manispaa ya Iringa umetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la mimba katika umri mdogo. MWANAHABARI WETU FABIOLA BOSCO AMETUANDALIA TAARIFA KAMILI……………… MWISHO
20 April 2023, 2:50 pm
Viongozi wa Dini na Serikali waungana Kupinga ulawiti na Ushoga Iringa
Matukio ya ulawiti na Ushoga yamezidi kukithiri katika Jamii jambo lililopelekea Viongozi wa Dini na Serikali kukemea vikali. Na Hafidh Ally Viongozi wa Dini na serikali Mkoani Iringa wameungana kupinga vita vitendo vya ulawiti na ushoga ambavyo ni kinyume na…